Sifa za upekee walizonazo choosen one(special purpose on earth)kama unazo hizi wewe ni choosen one.
Choosen one ni watu Mungu kawachagua kwa ajili ya kukamilisha malengo maalumu duniani(kutoa wa...
Wazo hilo lilikuja siku moja nilipokuwa nikifikiria jinsi watu wengi wanavyoishi maisha kwa haraka sana. Kila mtu anaangalia mbele tu mipango ya kesho, pesa za kesho, mafanikio ya kesho. Lakini...
HAWA JAMANAA WANA HUDUMA MBOVU 🤮🤮🤮 ..
NIMELIPIA BUS LUXURY VIP NAULI 85,000 KUTOKA BARIADI KWENDA DAR, BUS IMEFIKA IMECHELEWA, KUINGIA NDANI KUNA JOTO AC HAWAWASHI .. VUMBI NJIANI MTU UMETOKA...
Huwa ninashangaa ninapoona baadhi ya MaRPC nchini wanavyoshirikiana na wanahabari linapotokea jambo linalohitaji taarifa ya Jeshi la Polisi.....hali hii tofauti sana hapa Singida.
RPC SACP Amon...
Nafautilia siasa za huku kwa jirani Kenya jinsi zinavyokwenda.
Huyu secretary general wa chama cha ODM bwana Edwin Sifuna , alikuwa na backup ya Raila Odinga, now mzee he is no more na yeye...
Habari ndugu zangu, katika pita pita za mahangaiko ya hapa na pale, nimebahatika kupita mikoa mbali mbali hapa Nchini kwetu Tanzania.
Mwaka juzi nikajikuta nimetua kwenye mkoa wa...
Tanzania yahimiza Matumizi ya AI Kuimarisha Mtangamano na Maendeleo EAC
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza matumizi ya Akili Unde (Artificial Inteligence – AI) ikiwa ni moja ya nyenzo...
Ili uweze kufanikiwa katika eneo lolote la maisha yako unaitaji nidhamu.
Mafanikio ayatokei kwa kutamani tu au kuamini one day yes kama wanavyosema vijana wengi, Mafanikio yanakuja kwa kuchukua...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando ameagiza kuvunjwa kwa daraja lililojengwa katika eneo la Goba Mtipesa baada ya kubainika kuwa halina ubora unaokidhi viwango vinavyotakiwa ambapo pamoja na...
Katika nchi yetu idadi kubwa vya viongozi wanao ongoza wizara, idara, vitengo na mashirika ya umma karibu wote ni madokta au maprofesa . Kichekesho maendeleo ya nchi Sasa ni sifuri.yaani hakuna...
Hii inaonyesha ni kwa namna gani TAKUKURU wamejipanga kukabiliana wezi wa mali za umma.
Yamepotea mabilioni na mikataba ya magumashi ila WAMEFANIKIWA kuokoa Shilingi milioni 259.2 lazima...
Ndio maana huwa nawaambia ukishakuwa wewe ni mshabiki wa trump moja kwa moja unatiki box zote za utimamu.
Unachukiaje mtu anaepambana na ugaidii wa radicals wa itikadi kali, anaepambana watoto...
Wakuu,
Kuna jambo la muda mrefu linanipa wasiwasi sana kuhusu namna mji wa Mbeya unavyokua.
Sasa hivi ukipita maeneo mbalimbali utakuta kila kona kuna ujenzi, mara nyingi bila mpangilio wa mji...
Niko Mbeya, nimekuja kutembea mara moja, baada ya kuzisikia sifa nyingi sana za mkoa na jiji hili la Mbeya.
Daima huwa na utamaduni wa kufanya matembezi ya miguu ili niweze kuujua mji vizuri...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imemtunuku tuzo ya heshima ya udaktari bingwa bobezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake...
Wote tunajua kua infinity ni mwisho usio fikika mfano namba
1, 2, 3, 4, ...
Je kuna Infinity kubwa kuliko mwenzake mfano infinity ya
1, 2, 3, 4, 5... nisawa na infinity ya
2, 4, 6, 8, 10... ...
Wizara ya Maendeleo ya Vijana, imeanika wazi mwongozo kwa vijana namna ya kuomba na kunufaika na mikopo ya Sh200 bilioni ambayo imekuwa ikitangazwa na Serikali kuwa lengo lake ni kuwawezesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.