Machi 12, 2026 Rais Samia Suluhu, alipokea taarifa ya Tume za Rais alizoziunda kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi...
Kuna wakati bidii iliheshimika, ilikuwa valued katika level ya dhahabu na almasi.
Kuna wakati bidii ilikuletea tumaini la kubadirisha maisha na hakika baada ya muda fulani bidii ilikufanya...
Kuna eneo ambalo ni kama pori linalomilikiwa na Mfuko wa NSSF lipo huku Kiluvya kutokea kwa Sumaye mpaka Shule ya Secondary Makurunge, Wanafunzi wanapita mpaka mida ya usiku wakitoka shule na sio...
Hii ni barabara ya Tarime Mjini – Nyamongo, iko katika hali mbaya na wahusika wala hawajali. Viongozi wanaohusika na Barabara na wale wengine wote hawalioni hili? Ubovu huu ni chanzo cha...
Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu.
Hii hali imekuwepo muda mrefu...
Hawa jamaa wanadai mfumo wao una matatizo, ni wiki ya pili sasa huwezi kuongeza umeme wala kufanya chochote, watumiaji wa hizo submita tunapata shida sana, mimi wiki nzima sasa chumba changu...
Habari wenyenchi,
Kwa ufupi sana, Miundombinu ni kwa ajili yetu sote nikilenga matumizi ya bararaba, serikali imeweka sheria na alama mbalimbali ili zifatwe kwa lengo la usalama wetu.
Matumizi...
Ni ajabu kuona zile juhudi zilizofanyika kusafisha jiji miaka ya nyuma zinapuuziwa kutokana na watendaji kutokufanya majukumu yako ipasavyo.
Nachojiuliza hivi vibanda vinavyochipukia kama uyoga...
Baada ya kuwatapeli watu zaidi ya mara tatu kupitia mradi wa kuku, Kijana Tariq kaja kivingine kupitia mradi anaoita mbuzi pesa. Utaratibu wake ni uleule wa kuchangisha watu pesa. Ikumbukwe mara...
Jinsi ya kubadilisha mtazamo wako(mindset) na kuweza kufanikiwa katika maisha
Mafanikio ya binadamu yanategemea mtazamo wake juu ya maisha, ili uweze kufanikiwa kiuchumi ni muhimu kujua kwamba...
Mafanikio yapo katika pembe(angle) nyingi katika maisha.
Mafanikio nini, kila binadamu ana tafsri yake kuusu mafanikio, mwengine ana amini kuwa na pesa nyingi ni mafanikio, mwengine kuwa na...
Huu ndio utofauti kati ya watu wa dini(Religion) na kiroho(spirtual)
1.Dini, wanafundisha Mungu yupo nje(sehemu fulani amekaa ametulia)
Spirtual, wana amini Mungu yupo ndani ya mwanadamu(roho wa...
Jinsi ya kufanya hili roho wa Mungu(holy spirit) awe karibu na kufanya maisha yako yawe yenye ulinzi wa kiroho
Tupo katika ulimwengu ambao kuna light energy au nuru kutoka kwa Mungu na dark...
USITAFUTE UTAJIRI, FEDHA & MAFANIKIO BILA KUJUA YAFUATAYO..
1. Fedha (Money) Energy
Fedha si kitu tu cha karatasi au namba kwenye akaunti—kikiroho, fedha ni aina ya energy (nguvu ya mtiririko)...
Hekima ya kupata utajiri kupitia nguvu za kiroho imefichwa katika vitabu vya kale, maandiko ya kiroho, maandiko ya siri (esoteric), na mafundisho ya hekima ya ndani ya mataifa mbalimbali. Hapa...
● Utajiri wa kutoa kafara ya damu mfano kutoa wazazi, mtoto ,ndugu au mke wako
● Utajiri wa punje , huu ni utajiri ambao unaupata baada ya kuku kula punje kama akila punje moja na nusu basi...
Mammon ni jina linalotajwa mara nyingi katika muktadha wa kidini na kiroho, hasa katika Biblia na mafundisho ya Kikristo, likiwa linahusishwa na utajiri, tamaa ya mali, na mara nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.