Marehemu Lukuvi alishawahi kuwa Jirani yangu Chole Road Oysterbay na hakuna Mtu asiyemjua kuwa alikuwa ni Dhulumati wa Ardhi na Amejipatia Ardhi nyingi kwa kutumia Mamlaka yake.
Jamani si lazima...
Huyu panya ungemuua au ungemuhurumia kwaajili ya watoto wake ?
Mimi binafsi ninamuacha ila tutakuja kupambana hapo baadae watoto wakishakua wakubwa, na watoto wakiwa wakubwa na kuanza usumbufu...
TAJIRI HUNUNUA MALI,MASKINI HUNUNUA HISIA
Tofauti ya utajiri na umaskini haipo kwenye kiasi cha mshahara,bali kwenye Akili ya Kuwekeza (Investor Mindset).
Utajiri wa kweli haupimwi kwa pesa...
Mfano watumishi wa chuo kikuu kimoja cha umma Pindi chuo kinapofunguliwa na wakati wanachuo wapya wanapo join chuoni
MWEZI NOVEMBER
watumishi wa chuo wanapambana wanaandikisha wanafunzi wapya...
Na hapo katika Kuwabandua Mademu waliowaka / walioungua na Kutoathirika kabisa ni ukweli 100%
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kuniumba na Alama ya M Viganjani kwangu kote na kuwa Kundi la Damu la O.
Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani...
Deni la Taifa ni Trillion 110
Taasisi nyingi wametumbua pesa bila aibu
1. ATCL wamekula pesa, hasara zaidi ya billion 90
ATCL hii haiendeshwi kiuweledi
Kutwa kusafirisha machawa na kubeba bure...
Msanii Webiro Wasira (Wakazi) amesema Wakili Peter Kibatala ameanza mchakato wa kutengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ya kumtaka amlipe fidia ya TZS milioni...
Yaani nchi hii mambo ya sheria za mambo madogo madogo ya maisha ya kila siku ya watu hadi inakera sasa. Mara sheria ya hiki,mara ya kile, mara sijui nini,hadi sasa tunakuwa sheria state. NI kweli...
Habarini leo narudi tena
Kumekuwepo na makundi mawili hapa duniani ambayo kwa sasa ni kama yanavutana hivi, lengo uzi huu sio kubeza watu ila ni kujaribu kuwekana sawa juu ya haya mambo ya muumba...
Wakuu ni Leo tena.
Huwa sina shaka na ndoto zangu kabisa ila ni sharti ijurudie mara3 ndo inakuja kutimia kwa 97%-100%
Mwaka 2024 nikiwa kijijini kwa wazee niliota kuwa naenda kazini night shift...
Nimesoma kwa umakini sana post ya ONTARIO kuhusu kuitwa tapeli na namna alivyojisafisha >> Nakemea vikali ujinga, uongo, Uhuni na utapeli unaoenezwa na baadhi ya JF members
Naomba kuzungumza...
-3th April ni ijumaa kuu unafamu ilo ?
-Whats the plan tupate ripoti yetu ?
-Inawezekana ripoti iwasilishwe
alhamisi, if yes, tupate report yetu mapema patience is killing me.
Isije kua dana...
Vita baina ya Marekani, Israel dhidi ya Irani ilianza tarehe 28 Februari, 2026. Vita hiyo imeongezeka wigo kutokana na mashambulizi ya Irani kwa nchi za Saudi Arabia, Bahrain na Nchi za Falme za...
Hii nimeifutilia, ukitumwa na mgonjwa aliyelazwa hospitali kitu chochote usiiende, ukienda tu utakuta Israel ashafanya yake
Mgonjwa akitaka kufa siku hiyo hata kama alikuwa mahtuti kiasi Gani...
Unajua Makonda kuna vitu vingine vya Kipumbavu huwa unafanya na Kuwaaminisha Watu kuwa kweli huna Akili?
Anayetaka kujua hii Taarifa aende katika Instagram Page ya Lemutuztv
Yaani Polisi bado...
Umoja wa Watoa Huduma Ndogo za Fedha Tanzania (TAMIU) umeiomba Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuongeza juhudi katika utoaji wa elimu ya fedha kwa wakopaji, hatua inayolenga kupunguza changamoto...
Raia wa Uganda, Fortunate Kyarikunda, amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela baada ya kushindwa kulipa zaidi ya Milioni 14 sawa na Shilingi milioni 9.6 za Kitanzania kwa mwanaume aliyemlipia ada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.