Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za leo wakuu, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri. Gesi ya kaboni dayoksaidi (CO₂) imekuwa ikitolewa kwa wingi sana kutoka kwenye injini za magari pamoja na mitambo ya viwandani. Mara...
1 Reactions
1 Replies
186 Views
Teknolojia mpya imeibuka duniani ambayo inabadilisha hewa ya kabonidayoksaidi (CO₂) kuwa mafuta kama petroli na dizeli. Hili ni jambo la kihistoria kwa sababu linageuza gesi chafu inayoongeza...
0 Reactions
10 Replies
570 Views
Just my thoughts Kama unaona ukibomoa nyumba za watu uswazi utawarudisha nyuma kimaendeleo, utaleta chaos na chuki kwa baadhi Basi tuya modify maeneo ya slums kuwa mazuri yanayofanana na...
12 Reactions
43 Replies
608 Views
Leo ni siku ya wajinga duniani Aprili Mosi... Usiamini chochote na usimwamini mtu yeyote. Kama siku nyingine yoyote. 🤪
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kiukweli kwa sasa hatuna jeshi, wala kikosi cha usalama wa taifa TISS iliharibiwa walivyoingiza vijana wa uvccm leo hii 90% ya watumishi wa Tiss ni ccm. Nchi yetu wenyewe tumeiharibu kwa tamaa za...
4 Reactions
15 Replies
503 Views
THE OTHER PERSPECTIVE source: Much has been written on secret societies and there are numerous speculations as to which powers control them. The nature of secrecy is such that the real power...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kupitia Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii (SoNPH), kwa kushirikiana na Wizara ya Afya Tanzania, kimewakutanisha wadau wa sekta ya afya nchini kujadili na kuandaa...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Mafunzo ya ukusanyaji wa takwimu kwa ajili ya mradi wa “AI-Assisted Ultrasound Feasibility and Assessment of Resources and Integration (SAFARI)” yameanza rasmi Jumatatu, tarehe 30 Machi 2026, na...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Zaburi 121:8 Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele. Mungu atakuwa pamoja na wewe nyakati zote za maisha yako kipindi cha furaha na kipindi cha huzuni, Mungu anaweza...
2 Reactions
1 Replies
170 Views
Watekaji wanaweza kuomba taarifa zako TRA,Ardhi,idara ya maji,Tanesco,ving'amuzi au sehemu yoyote itakayokuwa na usajili wako. Kwa Jamiiforum ndio maana bado wanaumia kwa nini hawapewi taarifa...
7 Reactions
15 Replies
405 Views
Wadau wa elimu huu ni ukweli kuhusu shule zetu za WASABATO Tanzania. Zinaweza kusifiwa sana lakini kwenye kiwango cha ubora bado sana. Nashauri maboresho yaanze hususan kwenye kuzingatia taaluma...
4 Reactions
14 Replies
302 Views
Video iliyosambazwa mtandaoni inaonyesha tingatinga likivamia soko huko Beijing, na kusababisha vifo na majeruhi. Mamlaka za China bado hazijatoa taarifa rasmi kufafanua mazingira ya tukio hilo au...
2 Reactions
2 Replies
187 Views
Marehemu Lukuvi alishawahi kuwa Jirani yangu Chole Road Oysterbay na hakuna Mtu asiyemjua kuwa alikuwa ni Dhulumati wa Ardhi na Amejipatia Ardhi nyingi kwa kutumia Mamlaka yake. Jamani si lazima...
12 Reactions
35 Replies
830 Views
Huyu panya ungemuua au ungemuhurumia kwaajili ya watoto wake ? Mimi binafsi ninamuacha ila tutakuja kupambana hapo baadae watoto wakishakua wakubwa, na watoto wakiwa wakubwa na kuanza usumbufu...
10 Reactions
20 Replies
412 Views
TAJIRI HUNUNUA MALI,MASKINI HUNUNUA HISIA Tofauti ya utajiri na umaskini haipo kwenye kiasi cha mshahara,bali kwenye Akili ya Kuwekeza (Investor Mindset). Utajiri wa kweli haupimwi kwa pesa...
7 Reactions
7 Replies
410 Views
guest-1795378001
Mfano watumishi wa chuo kikuu kimoja cha umma Pindi chuo kinapofunguliwa na wakati wanachuo wapya wanapo join chuoni MWEZI NOVEMBER watumishi wa chuo wanapambana wanaandikisha wanafunzi wapya...
3 Reactions
22 Replies
554 Views
Na hapo katika Kuwabandua Mademu waliowaka / walioungua na Kutoathirika kabisa ni ukweli 100% Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kuniumba na Alama ya M Viganjani kwangu kote na kuwa Kundi la Damu la O.
2 Reactions
1 Replies
188 Views
Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani...
6 Reactions
39 Replies
542 Views
Deni la Taifa ni Trillion 110 Taasisi nyingi wametumbua pesa bila aibu 1. ATCL wamekula pesa, hasara zaidi ya billion 90 ATCL hii haiendeshwi kiuweledi Kutwa kusafirisha machawa na kubeba bure...
10 Reactions
43 Replies
1K Views
Msanii Webiro Wasira (Wakazi) amesema Wakili Peter Kibatala ameanza mchakato wa kutengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ya kumtaka amlipe fidia ya TZS milioni...
4 Reactions
2 Replies
238 Views
Back
Top Bottom