Nyumba ikiwa na mazingira mazuri nje, hasa kukiwa na ule ugreen inapendeza sana, inaleta hali nzuri ya hewa ndani na kwenye compound....lastly inaboresha afya na maisha
Lakini nyumba za kibongo...
Hapo vip!!
Jamani kuna ugonjwa wa ngozi unayenisumbia kwa muda mrefu, Unaitwa Keloid... Mfano kuna wadada Wakitoga maskio anasabisha uvimbe, ndio huo, sasa mimi nikipata jeraha kidogo badala...
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Habibu Suluo, ametoa rai kwa wasafirishaji nchini kutokuchukua maamuzi ya kupandisha nauli bila kufuata utaratibu uliowekwa...
Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
Kuna sehemu dar inaitwa gongo la mboto, nataka kujua chanzo cha jina hili.Hivi ni kweli zamani kuna jamaa aliyekuwa anaitwa mboto alishambuliwa na simba wakamla kila kitu wakaacha mgongo wake...
Nimeiambia Gemini itengeneze picha ya Dar jinsi itakavyokuwa miaka 10 ijayo kwa kuangalia kasi yake ya ukuaji wa sasa
Ikaleta hii picha
I can't wait to see Dar inafikia level za kimataifa
Wakuu,
Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba
Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na...
Wakuu habari,
Niombe kwanza samahani kwa yeyote tutakayetofautiana mtazamo katika hili
Kuna suala moja inabidi tukubali kwa hawa watumishi wa Mungu katika imani, tafadhali tusiendeshwe kwa maneno...
Mwaka 1991, mwanafunzi mmoja wa chuo cha Helsinki alichukizwa.
Si chukizo la kawaida. Or paper ngumu sjui au professor mbaya. Hii ilikuwa chukizo la kitu kilichomzuia kufanya anachotaka kufanya...
Wakuu kama kijana tunapitia hali ngumu katika kuchagua jambo litakalotusaidia hapo baadae. je ni mkoa gani unaweza kumshauli kijana anayejitafuta kimaisha akaishi, ambapo akienda mkoa huo...
Wakuu kumekuwa na wimbi kubwa kwa vijana kutaka kuja katika jiji la DAR ES SALAAM lengo kutafuta life. je ni maeneo gani hapa DAR ES SALAAM ambayo unaweza kumshauri kijana anayekuja kujitafuta...
Watumiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu...
Mungu angalii mavazi au jinsi ulivyo Mungu ana angalia moyo wako unaweza kuwa unavaa
Unavyopenda na Mungu akakutumia , jikite kuwa mtu mwenye upendo, utu, kusamehe, kusaidia ayo ndio mambo ya...
Kwanza, kuna gharama za mafuta ambayo ni bei ya mafuta katika soko la dunia na gharama ya uagizaji wa mafuta hayo inayojumuisha gharama za usafirishaji, bima na faida ya mletaji wa mafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.