Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu kwema ? Tukiwa tunaumaliza huu mwaka hakika kuna mengi ya Kusikia na kushuhudia,kwa upande wangu nilisikia kuhusu hawa wataalamu wa tiba asili almaarufu waganga,na haya ndo niliyoyaona...
12 Reactions
49 Replies
8K Views
Wakuu nawasalimu. Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke. Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
NIkiwa katika mihangaiko yangu kipindi flani niliamua kuwekeza katika kilimo cha mpunga hapo maeneo ya Mlandizi ila Sasa niliyokuja kuyaona niliamini hakuna Mungu kwenye kulima mana wakati wa...
5 Reactions
55 Replies
13K Views
Ivi kuna hospitali ya majonjwa yenye usugu wa dawa hapa bongo
2 Reactions
7 Replies
888 Views
Malaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi sana. Baadaye nikienda kwa mama...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Wilaya ya Handeni imejipanga kuhamasisha jamii kuondokana na imani za kishirikina, badala yake ijikite kwenye shughuli za maendeleo kwenye ngazi za kaya na vijiji. Wakati yakielezwa hayo wilaya...
6 Reactions
95 Replies
19K Views
Nakumbumbuka baadhi ya majambazi waliotokea kusumbua jamii. 1. Enzi izo ni wilaya ya Tarime, Mathumo, huyu alikuwa mwizi wa ngombe Alikuwa na uwezo wa kuiba ngombe kisha kuogelea nao akivuka nao...
8 Reactions
44 Replies
5K Views
Mshana Jr mzee wa bata siku 5460, naomba jawabu lako. Damu ya bata ina nini kiasi kwamba haitakiwi na waganga, haitakiwi kwenye tambiko na wala haitakiwi kwenye zindiko?
7 Reactions
62 Replies
6K Views
Angalizo; Andiko hili linaweza likawa na Lugha Kali inayoumiza, hivyo Kama wewe sio mtu wa kuhimili lugha Kali nakusihi ishia hapahapa! Au usome ukiwa chini ya uangalizi wa Wanasaikolojia na...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
FAHAMU MGANGA ANAKUPA UTAJIRI YEYE ANABAKI MASIKINI Sababu kubwa kuliko zote mganga anajua madhara ya pesa za masharti, kwahiyo hawezi kuhatarisha maisha yake na familia yake. Ukienda kwa mganga...
5 Reactions
9 Replies
5K Views
1. Mwanga.. 2. Mshirikina 3. Mlogo(mchawi) • Mwanga_ huyu anawanga usiku (uyu ni msumbufu ila ana lengo la kukuloga sema atakusumbua usiku utolala atakufanyia mauza uza.Mpaka utakoma. •...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Nilipata mkasa wa jamaa mmoja hapa kijiweni akitueleza kuhusu jinsi waganga wengi wanavoweza kuiba nyota zenu au majini/mizimwi yako yenye wezo mzuri na kukuwacha pababaya. kila mtu anapizaliwa...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
Nimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
23 Reactions
118 Replies
6K Views
Ona mambo haya ni uchawi mtu tafadhari usijaribu utaenda kuangamia, mimi nakufunulia ila usiyafanye. Vipi unaweza ficha kivuli chako na mshirikina asikione kwa namna yeyote? kwa sababu wachawi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu. March mwaka huu nimefikisha miaka 40. Nimeajiliwa serikalini Halmashauri ya Wilaya ya Meru lakini sina hivi vitu vifuatavyo : 1. Sina familia na sina hata mtoto 2. Sina shamba wala...
27 Reactions
230 Replies
31K Views
Kuna watu ni wabishi sana kwamba haya mambo hayapo lakini utawakuta kanisani ama msikitini wakijinadi wao ni wakristo/waislam. Niseme tu kwamba hapa ni ishara ya moja kwa moja wapo kwenye dini...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Asalaam alaykum. Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema...
6 Reactions
134 Replies
5K Views
• Ni muuza wa kuni, maji na viazi aliyeshinda boda boda ya PigaBet Dar es Salaam — Kuna watu wanaotafuta kazi. Halafu kuna watu ambao kila siku wanajitengenezea kazi kutoka kila pembe ya maisha...
1 Reactions
1 Replies
128 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imeipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)kwa jitihada kubwa za kutekeleza miradi mikubwa ya majisafi na ya...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Habari wana forum; Naomba kufahamu kama kuna shuttle/ usafiri wa kushare kutoka KIA kwenda Moshi/Arusha pindi unapotua kiwanja hiki. (Sio airport Taxi) na pia ni bei gani Kuna haja ya kwenda...
2 Reactions
4 Replies
207 Views
Back
Top Bottom