Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu na kitasimamisha wagombea wa ubunge na udiwani Hayo yameelezwa na Katibu...
3 Reactions
6 Replies
470 Views
Kutokea Tunduma, hofu imetawala miongoni mwa Wananchi kufuatia taarifa za mtu anayedaiwa kuwa akimgusa mtu, husababisha kupotea kwa sehemu za siri. Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Tunduma...
9 Reactions
29 Replies
951 Views
Baada ya kupanda bei ya mafuta kutoka 3000 hadi 4000 Nchi hii ina vijana zaidi ya milion 15 waliojiijiri katika shughuli za bodaboda. Mliwaaminisha bodaboda ni kazi rasmi na ajira Leo wapo...
5 Reactions
25 Replies
524 Views
Daily wapo pale standby na bunduki kubwa wakiwa wanaangaza huku na kule! Kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ni kutisha raia.? Si vizuri Kuona askari wakiwa na magari ya vita na silaha in...
4 Reactions
19 Replies
479 Views
Kama wewe jambazi tafuta kazi nyingine tu. Kwa mfano, hapa Dar es salaam ukiifanya ujambazi huna pa kutokea sasa. Dk 5 tu watu wanakuzimisha na vyuma. Halafu hivi vyuma vingi vinatengenezwa hapa...
2 Reactions
6 Replies
205 Views
Mimi ni mfugaji wa kuku,mbuzi na kwa uchache sana Ng'ombe hivyo huwa natambea maeneo na maeneo nakutana na kila aina ya mbegu za mifugo tajwa hapo juu. Mara kadhaa nimekuwa nikishuhudia hii tabia...
19 Reactions
106 Replies
2K Views
Kondakta wa usafiri wa daladala wametoa malalamiko yao kutokana na kuadimika kwa sarafu ya shilingi 100 na 200 hali inayowapa ugumu kurudisha chenchi kwa abiria, wakilazimika kurudisha 500 badala...
3 Reactions
3 Replies
180 Views
Mtangazi wa Radio 47 ya Kenya Billy Miya katika kipindi cha Maskani47 amedeai kwamba Msanii wa bongo fleva kutoka hapa Tanzania Diamond Platnumz ametumia pesa kutoka CCM kurebrand Wasafi FM...
1 Reactions
1 Replies
239 Views
Tangu tarehe 1 Aprili 2026, baada ya EWURA kutangaza kupanda kwa bei ya mafuta nchini, hali imekuwa ngumu kwa wananchi wengi, hasa wafanyakazi wanaotegemea usafiri wa umma kila siku. Ni ukweli...
1 Reactions
4 Replies
316 Views
Mtoto wa Rais Samia na mkwe wake na mtoto wa mstaafu wa awamu ya nne ndo waagizaji wakubwa wa mafuta nchini kutokea India na Uarabuni Nchi yetu imekua corrupt na ya hovyo au kwasababu wao...
4 Reactions
7 Replies
372 Views
Kilimanjaro kuna vijiji vizuri sana ukiachana na wilaya za Same na Mwanga. Je kuna sehemu nyingine yenye vijiji vizuri vya kuishi vikiwa na huduma nzuri za kijamii, nieleweke sizungumzii vijiji...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Habari? Leo nimetoa haya maneno ! Nikaamka usingizini fasta! Lakini sijaelewa maana yake .Naomba anayeweza kunisaidia tafsiri yake. Uzi tayari.
3 Reactions
1 Replies
202 Views
Biashara haramu ya pombe ina athari nyingi na za kina, ikiathiri uchumi wa Tanzania, uwekezaji, na pia kuhatarisha afya ya jamii kwa kiwango kikubwa. Akifanya Mahojiano na Mwananchi, Mkurugenzi...
6 Reactions
40 Replies
769 Views
Wasalaam Naomba kuelekezwa namna ya Kufika Idodi, Iringa nikiwa natokea Njombe kwa usafiri wa basi. Nipo mapumzikoni Njombe Nimekaa iddle na ningetamani kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Mbunge wa...
4 Reactions
20 Replies
478 Views
Ukienda Marekani chunga watu wengi wako ugonjwa wa syphylis, kaswende na ukimwi. Wengine wako na zaidi ya ugonjwa mmoja
5 Reactions
4 Replies
214 Views
Naomba kujua sio kwa ubaya pia kwanini Tanzania bara na Zanzibar bei ya mafuta zinapishana sana? Bei ya Tanzania 4000 lakini Zanzibar ni 2900. Sisi ni nchi moja ila kwann tunatofaut kubwa sana...
7 Reactions
12 Replies
420 Views
Hii inaleta picha gani kwa jamii labda??
2 Reactions
22 Replies
536 Views
Mahoteli ni matupuuu,hata zile budget hostels. Utalii unayoyoma kwa kasi aisee. Uchumi wa Zanzibar ni utalii naa utalii wa Zanzibar umeshambuliwa na Serikali na global instability especially...
6 Reactions
37 Replies
655 Views
Wahenga mtakubaliana na mimi 100% kwamba miaka ya nyuma mvua zilizokuwa zikinyesha Dar es salaam hazikuambatana na radi hata kidogo. Tulizoea kusikia matukio ya radi hasa huko Kigoma, Shinyanga...
12 Reactions
97 Replies
2K Views
Back
Top Bottom