1. Usajili wa wapika keki BASATA
2. Usajili na tozo kwa wamiliki wa swimming pools
3. Usajili wa wapiga picha na editors
4......
5......
Kwani kazi ya TRA ni nini? Kama mtu anaingiza kipato...
Kwa takribani siku ya tatu leo Daladala kwa route ya Tegeta - Posta/ Kariakoo, Bunju - Morocco daladala zimezidi kua chache kulinganisha na siku za huko nyuma
Abiria wamekua ni wengi kwenye vitu...
Tukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa...
Jana usiku nilikuwa macho saa 7 nikitazama launch ya Artemis 2 live. Kwa wale hawajui, hii ni mission ya NASA itakayozunguka mwezi ndani ya siku 10 tu. Nilikuwa nasherehekea moyoni, nikijivunia...
Hii kampuni Magmop ni kampuni ya Angela Kizigha na iko registered kwa number yake ya simu, yani her own personal number. Mnaweza kucheki wenyewe ownership ya hii magmop.
Naomba muangalie magari...
Kupanda kwa bei ya mafuta hususani petroli, makali yameanza kung'ata jijini Mbeya baada ya usafiri wa daladala kuweka 'mgomo' kutoa huduma huku wananchi wakilia na nauli za bajaji zilizofikia...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameitaka kampuni ya M/s China Railway Construction Engineering Group kuhakikisha ifikapo Mei 2027 iwe imekamilisha ujenzi...
Isaya 58 :7
Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usijifiche na mtu mwenye damu moja nawe...
Habari ndugu zangu, ndugu yenu Mwanongwa katika pitapita zangu leo nimeibukia maeneo ya Kabwe Jijini Mbeya.
Kuna mitaro maeneo ya Kabwe njia ya kwenda Block T ni janga kubwa sababu maji na...
Mhu 9:11
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo"",
wala si walio hodari washindao vitani,
wala si wenye hekima wapatao chakula,
wala si watu wa...
How do you mean God are love, peace and Truth.
Love, when you have holy spirit inside you, you live life with love to himself and this love can read to reflect other sorrounding, Once God live...
Nigeria pekee ina makabila 400, Tanzania ina 120. Hizi nchi mbili tu zina jumla ya makabila 520+ leo hii
Bado Africa nzima, kuna maelfu ya makabila. (Hapa naongelea Africa ya watu weusi- Sub...
Kusema kweli Tanzania tuna safari ndefu kwenye miundombinu
Tanzania ukiachana na main roads, barabara nyingi bado ni za vumbi especially mitaani wanakokaa watu. Hata miji mikubwa kama Mwanza na...
Kwako madam president
Hizi teuzi unazofanya wakati mwingine huwa unatukosea sana sisi watanzania leo hii ripoti ya CAG imeonesha madhaifu na ufisad mwingi serikalini maana yake unahitaji kuutoa...
Hivi duniani kuna nchi ina mind-blowing infrastructure kushinda China
Barabara na highways
Reli (railway systems)
Viwanja vya ndege (airports)
BRT system
Train stations
Bandari (ports &...
Mungu akubariki katika tafakari ya mateso ya Bwana wetu Yesu Kristo siku ya Leo.
- Yesu Kristo aliikuta Pasaka.
Tunaona kwenye Biblia kuwa Mipango ya kumkamata na Kumuua ilipangwa kipind cha...
Kumekuwa na kero ya muda mrefu sasa katika daladala za Mbweni jambo ambalo limekuwa usumbufu kwa abiria
Kwa mujibu wa LATRA route ya daladala za Mbweni ina Njia mbili
1. Kuna daladala...
Jamani naomba kuuliza wajuz wa mambo mnaofahamu juu ya hili jambo
Tumeambiwa uganda anachimba mafuta na tunachimba bomba toka huko had tanga kwa ajil ya mafuta hayo
Wakat huu tulionao hawez...
Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja
Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote...
Mzuka wana jamvi ?
Nimekuwa nikimfuatilia hotuba zake , post na matamko yake amekuwa mtu ambaye hachagui lugha wala Cha kuzungumza lolote linalo mjia twende.
Press ya juzi alivyosema Mfamle wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.