Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba kufahamishwa juu ya umri sahihi wa kustaafu Kwa wanajeshi wa jeshi la ulinzi JWTZ Kwa Kila cheo kwasababu unaweza ukamkuta askari ni Mzee harafu unajiuliza huyu anaweza kukimbia au...
3 Reactions
8 Replies
289 Views
Akiwa alasska ana tazama west europe. Akiwa maina land ana mtazama south na central america na east asia. Akiwa green land anatazama east europe.
0 Reactions
3 Replies
61 Views
Aina mbalimbali za mitambo itumikayo kwenye tasnia ya ujenzi. Excavators Backhoe Dragline Excavator Bulldozers Graders Wheel Tractor Scraper Trenchers Loaders Tower Cranes Pavers Compactors...
78 Reactions
180 Replies
34K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia kijana mmoja anayedaiwa kuwa mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumbaka mwanamke aliyekuwa mteja wake katika Wilaya ya Mtwara. Mtuhumiwa huyo...
13 Reactions
74 Replies
857 Views
Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina...
5 Reactions
18 Replies
161 Views
Maboss. Mwezi August niweka Uzi wenye kichwa: Nilitaka kununua Drone kwa Matumizi Binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko kununua? Baada ya kupata madini kutoka kwa wadau, wengine...
11 Reactions
16 Replies
171 Views
Anonymous
Kuna matuta katika eneo la Chang’ombe Makaburini yaliyowekwa na wananchi bila kufuata utaratibu unaotakiwa. Hali hiyo imekuwa ikisababisha ajali, huku baadhi ya watu wakipata majeraha. Je...
0 Reactions
1 Replies
81 Views
Kabisa katika moja na mbili,,, Hiki na kile Hapa na pale..naona kabisa... Daaah! kuna mambo hayako sawa.,,sasa baada ya kutafakari kwa kina nikapata uhakika pasi na shaka kwamba nilikuwa sijaingia...
1 Reactions
0 Replies
38 Views
Wenye Vyeo Vya Kuanzia Second Lieutenant Hadi Cheo Cha General Huwa Ni: Wastaarabu Wana Hekima Wanajitambua Wakarimu Na Marafiki Wazuri Hawana Makuu Wala Dharau Wana Nidhamu ILIYOTUKUKA Hawana...
8 Reactions
90 Replies
15K Views
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa. eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye. Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni...
6 Reactions
121 Replies
2K Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limefanya kikao cha kwanza na mshauri mwelezi kampuni ya SYSTRA kutoka Ufaransa, inayotarajiwa kufanya upembuzi yakinifu (Feasibility Study) ya mradi wa reli za...
6 Reactions
39 Replies
704 Views
Hivi inakuwaje mwanaume mzima unafikia hatua ya kupiga simu na kutuma meseji za kuombaomba michango ya sherehe ya harusi yako? Unajikuta ghafula umeungwa kwenye group la harusi, humo bwana harusi...
30 Reactions
92 Replies
2K Views
Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha...
3 Reactions
15 Replies
259 Views
Kwa miaka mingi, baadhi ya wafanyabiashara nchini Nigeria wamekuwa wakijisifu sana kuhusu umahiri wao katika biashara, wakijiona kama miongoni mwa wafanyabiashara hodari zaidi barani Afrika...
1 Reactions
10 Replies
163 Views
Nimeona kuna idadi kubwa sana ya watumishi wa umma wanbet. Nini kimetokea wakuu?
4 Reactions
9 Replies
126 Views
1. Maagano ya Damu (Blood Covenants)Ulimwengu wa giza hufanya kazi kupitia maagano ya damu ya siri, ambapo kafara za wanyama au wanadamu hutumika kama sarafu kuu ya kiroho. Kwenye dunia ya asili...
15 Reactions
119 Replies
3K Views
hakuna kidumucho milele isipokuwa milele yenyewe Kaburi linachukuliwa kama nyumba ya milele kwa wafu lakini uhai wa mwili mfu kaburini si zaidi ya miaka 20, labda ile kumetumika njia maalum za...
14 Reactions
62 Replies
10K Views
Tangu uchaguzi wa chama Yericko ndio mwanachama pekee aliyekuwa anaelekeza mashambulizi makali kwa Lisu na alionekana kumtetea FAM kwa gharama kubwa sana,ilifika sehemu alisema FAM ni ALPHA na...
2 Reactions
17 Replies
238 Views
Naomba wajuvi wa mambo wanasaidie nifahamu ni kwanini wanajeshi wa marekani wanastaafu mapema ukilinganisha na huku kwetu?
2 Reactions
18 Replies
303 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…