Hivi ni Kwanini Wanajeshi...

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,545
108,873
Wenye Vyeo Vya Kuanzia Second Lieutenant Hadi Cheo Cha General Huwa Ni:
  1. Wastaarabu
  2. Wana Hekima
  3. Wanajitambua
  4. Wakarimu Na Marafiki Wazuri
  5. Hawana Makuu Wala Dharau
  6. Wana Nidhamu ILIYOTUKUKA
  7. Hawana Uhuni Na Siyo MALAYA
Na Wenye Vyeo Vya UGOKONI Kuanzia Private Hadi Warrant Officer Huwa Ni:
  1. Wagomvi Hasa Mitaani
  2. Wababe Wa Kipuuzi
  3. Hata Ukikaa Nao Kijiweni Hakuna Madini Wanayoyatoa Katika Vichwa Vyao
  4. Wana Matumizi Mabaya Ya PESA
  5. Omba Omba Sana Pindi Wakiishiwa
  6. Hawapendi Kujiongeza KIELIMU
  7. Wanapenda Mno SIFA, Wana DHARAU Na Wanapenda Kuogopwa Na Raia
 
Tatizo ni kujiona kwamba they can do anything bila. Kupew pingamiz i pia huamini hakuna kazi bora kama wao hivyo wao ndio kil kitu but ukweli ndio huo wana kero sana nimepitia huko n nimeyafanya san
 
Ndugu yangu shule nayo inasaidia mtu kuwa mstaarabu wale wenye vyeo vya chini non~officer elimu zao wengi wao ni za chini wapo waliofika 4m4 kwa kifupi darasa lao kichwani ni dogo ndio maana wasumbufu ila ubabe,usumbufu,ugomvi&matumizi mabaya ya fedha ni tabia za mtu sio tabia za jeshi
 
Wenye Vyeo Vya Kuanzia Second Lieutenant Hadi Cheo Cha General Huwa Ni:
  1. Wastaarabu
  2. Wana Hekima
  3. Wanajitambua
  4. Wakarimu Na Marafiki Wazuri
  5. Hawana Makuu Wala Dharau
  6. Wana Nidhamu ILIYOTUKUKA
  7. Hawana Uhuni Na Siyo MALAYA
Na Wenye Vyeo Vya UGOKONI Kuanzia Private Hadi Warrant Officer Huwa Ni:
  1. Wagomvi Hasa Mitaani
  2. Wababe Wa Kipuuzi
  3. Hata Ukikaa Nao Kijiweni Hakuna Madini Wanayoyatoa Katika Vichwa Vyao
  4. Wana Matumizi Mabaya Ya PESA
  5. Omba Omba Sana Pindi Wakiishiwa
  6. Hawapendi Kujiongeza KIELIMU
  7. Wanapenda Mno SIFA, Wana DHARAU Na Wanapenda Kuogopwa Na Raia
Kwa sababu wengi wao wana D moja moja tu za kiswahili....alafu wanakuwa hawajaelimika wanakuwa wamejifunza zaidi kutumia manguvu bila akili....lakini wale manyota wao wanakuwa wameenda shule kidogo maana miaka ya nyuma kule form six unapewa nyota moja akati majeshi mengine kama Police form six zipo nyingi sana,,degree ndo usiseme
 
Huu uzi una ukweli na uhongo ndani yake. Warrantt officer/ofisa mteule hawa asilimia kubwa na wazee na ndo walezi wa kikosi yaani matron/patron wanaheshimika kuliko hata lieutenant wakat mwingine wanakuwa na mishahara mikubwa more than cadet officer or lieutenant, pia hawa guys ni wakongwe jeshini ndo maana mpaka kukipata hiki cheo umri unakuwa ushaenda. Kutokana na uzee wao ndo maana wanakuwa wastaarabu sababu penye mzee kuna busara.
Kuhusu matumizi ya mabaya ya pesa ni tabia ya mtu au ujana unasumbua. Kwa nn nasema ujana kwa sababu ma-private wengi ni vijana na ndo wanaongoza kwa matumizi mabaya ya pesa. Tofauti na warranty officer yeye ana kuwa mzee na anakuwa na ndugu wengi wanaomzunguka kuomba msaada pia wanaongoza kwa maendeleo kuliko hata major wa jeshi. Utakuta wana gari nyumba mbili viwanja maporini,mashamba.
Huu ni utafiti wangu binafsi nilioufanya kuhusu hawa maofisa wateule daraja la kwanza na pili. Staff sergeant nao wanafanana vitabia na warranty officer. Ni hayo tu ila kam una swali uliza
 
Iko siku nitakuja kupata kesi ya hao ......ma.........

Mimi Hivi Ninavyokuambia Ndiyo Natoka Kuwekewa Dhamana Kwani Kuna Mmoja " Kajipendekeza " Na Mikwara Yake Ya " DRILLS " Zao Nikamwambia Kuwa Kuzaliwa Tu Mtu Wa Mkoa Wa MARA Tayari Kijeshi Wewe Ni PRIVATE Wa Jeshi Hivyo Nilichomfanyia Atawasimulia Wenzake Halafu Bahati Nzuri au Sijui Mbaya Nilimpompa SALAMU Za Wana Mkoa Wa MARA KIMAPIGANO Nikamwambia Naenda Tena KUMSHTAKI Kwa Wakubwa Zake Ili Pia Huko OFISINI Kwake " KINUKE " Hasa Ukizingatia Kuwa Tangia Enzi Na Enzi Maana Iliyo Wazi Ya JWTZ Ni " JESHI LA WAKURYA TOKA ZAMANI " Najua Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu Na Warangi Kwa WIVU Wao Watakataa Ila Ndiyo Ukweli Wenyewe.

Mwisho Nitoe Tu RAI Kwa WAKUU WA HAWA WANAJESHI HEBU JARIBUNI KUWAFUNDISHA NIDHAMU NA MUWAAMBIE KUWA HUKU MITAANI KUNA WATU WANA MAFUNZO YA KIMAPIGANO YALIYOTUKUKA KULIKO HATA HAYO MNAYOWAPA ILA TUNAWAHESHIMU TU NA KAMWE WASIJE KUTUDHARAU VINGINEVYO WAKIENDELEA NA HIZI TABIA ZAO ZA KIBABE HAKIKA TUTAKUWA TUNAWAPIGA KILA UCHAO. Pole Sana Wewe Mwanajeshi NILIYEKUPIGA ILA SIKU NYINGINE USIMPIME MTU KWA KUMUANGALIA TU KWANI WENGINE TULILETEWA MAOMBI YA KWENDA KUMFUNDISHA NGUMI BONDIA FLOYD MYWETHER ILA HARAKATI ZA MAISHA ZILINIZUIA KWENDA ILA HATA HIVYO NI JANA TU NIMEPOKEA MAOMBI YA KWENDA KUMPA MAZOEZI YA AWALI YA KUNG FU NA KARATE Muigizaji SINEMA MAARUFU DUNIANI Jack Chan Kabla Hajaanza Shooting Ya Video Yake Mpya. Na Hicho KIPIGO Nilichokupa Nilitumia Tu Mbinu Za Mwaka 1996 Sijui KAMA Ningesema Nitumie Hizi Mbinu Mpya Za 2016 Kama Ungeamka Leo!

Afande Super Handsome Jaribu Kuwafundisha Vizuri WANAJESHI Wak Namna Ya Kuishi Vizuri Mitaani Na Sisi RAIA MASELA.
 
wale wote namba moja mpaka saba mara nyingi wanakuwa graduate kwa hiyo moja kwa moja huwa wanajifunza mambo ya management vyuoni lakini hawa ndugu zangu kuanzia namba nane mpaka mwisho utakuta wengi ni wale waliomaliza darasa la saba, kwa hiyo suala la busara kichwani halipo kabisa zaidi ya kutumia nguvu na ubabe
 
Swadakta Mkuu.
 
Hoja hapa sio elimu zao bali ni mfumo wa mafunzo mpaka kuipata hiyo nyota moja na kuendelea.

kijana pale TMA ni nidhamu na utiifu kwanza mengine yanafuata, ukikata kiuno tu koplo mkufunzi (akikulala mikia),kwa wakubwa ujue ushaikosa.

Ukishaipata pia ukaleta maseke kitaa ujue ya pili na kuendelea itakuwa afadhari waweke kwenye magari yao kuliko kukupa wewe popoma.
 
Chuo cha maofisa monduli ndio jibu, pale cha kwanza ni nidhamu, bcoz unaandaliwa kuongoza kombania vitani na vita inahitaji nidhamu.
 
Labda tu niwape ufafanuzi kidogo
Kuanzia private hadi w/officer hawa wanaitwa askari na kuanzia nyota moja hadi General ni officers.
Private na Coplo hawa ndio wapiganaji kwa hiyo kwa nature ya kazi lazima maovyoovyo yawahusu hata huko wanakosomea uafisa wa jeshi Coplo's na Private ndio walimu wa kuwatengeneza officers.
Sasa ukiona askari wa cheo cha private hadi koplo anatabia za kilokole hajaiva huyo bado na hawa sio wagomvi bali ukiingia kwenye kilengeo chao lazima utapike nyongo huo ndio uaskari kama wewe ulitaka wakubembeleze iyo kitu kijeshi hakuna.
 
Back
Top Bottom