Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Utakuta huko TikTok wanafunua mapaja na kufunga Kwa haraka Facebook hivyohivyo kwanini?! Ni stress au ndio ajira mpya ya watengeneza content?
8 Reactions
53 Replies
1K Views
Sisi sote tunajua baadhi ya watu ambao hata kabla ya kumuuliza yeye ameshakwambia kila kitu, hata kukunyima fursa ya wewe kuongea . Waongeajia wengi wanaamini kwa kuongea kwao wanafurahisha ...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Meja jenerali, Gaudence Milanzi akisalimiana na Maafisa waandamizi wa jeshi la Magereza. Hivi ni Magereza pekee au majeshi mengine pia huwapigia salute JWTZ
6 Reactions
221 Replies
58K Views
Anonymous (25ea)
Kero yangu Barabara ndogo ya kwenda Saku Mwisho Kata ya Chamazi - Dar es Salaam, Diwani kaweka matuta ya udogo kuanzia mwezi kwanza ila mpaka sasa hakuna chochote kilichofanyika. Pia, baadhi ya...
1 Reactions
2 Replies
109 Views
Jumapili January 17 2021 Kwa miezi 12 baada ya Ijumaa ya tarehe 2 Agosti, 2001, hakuna jina lililotawala vyombo vya habari kama la Justine Kasusura, aliyedaiwa kupora dola za Marekani milioni...
8 Reactions
138 Replies
17K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA WATUHUMIWA WANNE WA WIZI WA MABILIONI YA BENKI YA NBC JIJINI DSM Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa...
12 Reactions
612 Replies
80K Views
Kwa sababu hii ni taasis inayofanya Biashara, sina haja ya kuivua Nguo, Itoshe kusema; Kulipa wafanyakazi Mishahara katikati ya mwezi unaofuata sio sawa kabisa!. Kama mnafirisika bora mtangaze...
3 Reactions
9 Replies
274 Views
Chuo Kikuu cha Kairuki kilijivunia kumpokea Charles Kihampa, Katibu Mtendaji wa Tanzania Commission for Universities (TCU), pamoja na ujumbe wa watumishi wa TCU katika ziara ya heshima. Ziara hiyo...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
8 Powerful Lessons from "Rich Dad Poor Dad" by Robert T. Kiyosaki: 1. The rich don't work for money; they make money work for them. This core principle shifts the focus from earning a salary to...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Wazee sina cha kuwaelezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked =========== Kujenga wakati unasomesha ni ngumu na kiuchumi zaidi ni vyema kijana...
36 Reactions
142 Replies
3K Views
Freemason wamechukua sifa zote za Yesu wamempa Shetani Wanamwita The Supreme Being The Prince of The Word The Great Architecture Wamefanya makosa makubwa Katika Biblia (Wakolosai 1:15-18) Mtume...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Mchugaji Michael Kofi Appiah muanzilishi wa kanisa la Light of Faith Ministry, Tokoradi -Ghana amefariki kifo cha kushtusha baada ya kufia gesti alipokuwa akimuombea msichana mrembo katika...
14 Reactions
81 Replies
2K Views
Kumekuwa na tabia ambayo imekuwa endelevu kwa baadhi ya mabasi mengi yanayotokea Kigoma kuelekea MWANZA, mfano GTA Express, kuuza wateja wake baada ya kukata tiketi usiku wake unapigiwa simu eti...
6 Reactions
45 Replies
732 Views
Kwa nini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani ambayo ililaaniwa? Hebu turejee maandiko katika kitabu cha Mwanzo 9: 20 “Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21 akanywa...
4 Reactions
3 Replies
392 Views
Kupitia mtandao wa kijamii wa facebook dorothy Gwajima amechapisha akileza kuwa wewe binti ambaye, fikra zako zinakutuma uwe mvivu mvivu kusoma au kujishughulisha na masuala ya maendeleo na...
0 Reactions
5 Replies
465 Views
https://www.youtube.com/watch?v=8uvLPbFDq_0 https://www.youtube.com/watch?v=c6ZEtlNlok0
0 Reactions
2 Replies
150 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetakiwa kuhakikisha inakamilisha miradi ya maji kwa wakati ili wananchi waweze kunufaika na huduma hiyo muhimu bila...
0 Reactions
2 Replies
158 Views
Heee kumekucha! Wameanza kuchomeana mingo zao Kazi ipo mbona, acha nikae siti ya mbele kabisa! =============== Basi la abiria aina ya Yutong linalomilikiwa na kampuni ya Abood, lenye namba ya...
14 Reactions
84 Replies
2K Views
Makala sehemu ya tatu👇🏼 Wakati Serikali ya Tanzania ikitangaza kuanza kutekeleza mpango wa Bima ya Afya kwa Wote, baadhi ya akinamama pamoja na wananchi wengine weonesha wasiwasi kuhusu iwapo...
0 Reactions
2 Replies
455 Views
Nimejishikiza katika kaajira flani private sasa boss watu wanadai ndiyo michezo yake wafanyakazi wakifanya kazi miezi kadhaa huwa anataka kuzurulumu. Mwezi mmoja ili muondoke then alete wengine...
3 Reactions
21 Replies
347 Views
Back
Top Bottom