Nimejishikiza katika kaajira flani private sasa boss watu wanadai ndiyo michezo yake wafanyakazi wakifanya kazi miezi kadhaa huwa anataka kuzurulumu.
Mwezi mmoja ili muondoke then alete wengine...
Hali ya usalama barabarani imeendelea kuzorota huku malori ya kubeba mchanga yakihusishwa moja kwa moja na ajali nyingi zinazogharimu maisha ya wananchi wasiokuwa na hatia. Kila siku, barabara...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa nchini kuhakikisha Halmashauri zinaweka mipango madhubuti ya kuendeleza uzalishaji wa nafaka na...
Maridhiano ni muhimu sana baada ya zile vurugu za Oktoba 29.
Mjumbe wa Jumuiya ya madola-Chakwera yupo nchini kutafuta maridhiano. Isije kutokea upande wowote ukakwamisha maridhino kwa tamaa ya...
SERIKALI YATANGAZA ELIMU YA MSINGI YA LAZIMA KUWA MIAKA 10
Dodoma — Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa mfumo mpya wa elimu utakaofanya elimu ya msingi kuwa ya...
Kardinali Müller anasema
“Inapaswa kusemwa wazi kwamba hakuna mtu aliye na haki ya kumkosoa Papa pale anapofuata kwa uaminifu utume alioupokea kutoka kwa Kristo wa kushuhudia Injili ya amani.”...
Kwanini wananchi Huwa tunaumia bila sababu pale watumishi wa Serikali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa wanalipa posho.
Mimi naona asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na wafanyabiashara ...
Habari za zenu wana JF,
Husika na mada hapo juu mimi ni kijana Mtanzania, ambaye nimeona nikajitolee kulitumikia Taifa kupitia Jeshi la Wananchi.
Tangazo nililiona na vigezo vyote ninavyo, ila...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema wanamtafuta mtu mmoja anayedaiwa kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni...
Je, Jamii tuna ELIMU ya kutosha jinsi ya kutumia gas na kulinda mtungi wa gas ili kuepuka hatari? Kwanini kampuni za gas zisingeweka sticker ya kuonesha do's na donts za gas.
Kwa mfumo wa picha...
Nimekuwa nikiona mjadala mwingi kuhusu video games, hasa watu wakisema zinapunguza focus na productivity, especially kwa vijana. Wengine wanasema kinyume chake — kwamba gaming actually inasaidia...
Juzi niliona Binti Raia wa Marekani ambae amefariki kifo cha utata hotelini Zanzibar na hadi leo kifo chake kinahusishwa na mpenzi wake mzungu inasemekana walikuwa na ugomvi hadi kutenganishwa...
SERIKALI ITUNGE SHERIA; BAADA YA KUACHANA MZAZI MWENYE KAZI NA UWEZO WA KIUCHUMI NDIYE AKAE NA MTOTO KWA MASLAHI YA MTOTO NA USTAWI WA JAMII.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Najua wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.