Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana falasafa njooni tujadili hili kwa roho safi. Kusema: "Alikufa kwa hiari yake" hakujibu swali la msingi: Je, kiumbe cha kimungu kisichokufa "kinaweza kufa" kwa maana yoyote? Kwa sababu Kama...
14 Reactions
125 Replies
1K Views
guest-1795378001
Mafuta yakipanda automatically gharama za maisha zitapanda kila kitu kitapanda bei. Serikali zenye akili zina futa kodi na ushuru kwenye mafuta ili kuzuia bei ya mafuta kupanda na kudhibiti...
3 Reactions
17 Replies
435 Views
Tunduma sasa kila mtu anatemvea na pini kama kinga. Inadaiwa pini ni Dawa ya kujikinga na hali inayoendelea hapo Tunduma kuhusu kuibiwa maumbile nyeti ya wanaume. Polisi washakanusha habari na...
5 Reactions
38 Replies
622 Views
Tunapojenga miundombinu ya afya, tunapaswa pia kuzingatia ubora wa huduma kwa mgonjwa, Huduma za saratani zinahitaji uwekezaji mkubwa na usimamizi makini ili kuleta matokeo chanya " Rais Samia...
1 Reactions
0 Replies
103 Views
guest-1795378001
Nchi washirika wa USA + ISRAEL vs Nchi rafiki wa IRAN? Hizi silaha za nuklia soon zitatumika,kuna nchi zikizidiwa zitaanza kuzitumia....na majibizano ya mashambulizi ya kutumia silaha za nyuklia...
4 Reactions
12 Replies
325 Views
Habari za wakati huu wana-JF, Nimekutana na hii clip ya zamani kidogo ya kipindi cha Dr. Phil, ikimwonyesha binti wa Kimarekani, Treasure, ambaye licha ya kuwa na asili ya Kiafrika, aliamini na...
1 Reactions
7 Replies
293 Views
Mahakama Kuu ya Gauteng imeamua kuwa kampuni ya uwekezaji ya Patrice Motsepe, African Rainbow Capital (ARC), haiwezi kuwajibishwa katika kesi ya dola milioni 195 (Tsh. Bilioni 505.7)...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Anonymous
Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za tiketi za safari zilizoahirishwa kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kutumia reli ya kisasa (SGR). Kwa...
0 Reactions
7 Replies
243 Views
Nadhani wananchi wenzangu mtakubaliana nami kuwa Laini za simu zinapatikana kirahisi mno na zinatangazwa kila kona kila siku, Lakini ikiwa tutahitaji kuondoa matapeli na wanaofanya matukio kwa...
1 Reactions
2 Replies
138 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaje Johnson Jonas mkazi wa Matejoo Jijini humo kwa tuhuma za kumpiga mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu kufuatia picha mjongea...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Zaidi ya Madereva 400 wa Daladala katika Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, wamesitisha huduma kwa muda wakisubiri kauli ya serikali kuhusu upandishwaji wa nauli baada ya kupanda kwa bei ya...
1 Reactions
7 Replies
278 Views
Wakazi wa Mtaa wa Makangarawe, Kata ya Makangarawe, Wilaya ya Temeke, wanatarajia kunufaika na huduma ya majisafi na salama kwa saa 24 kufuatia utekelezaji wa mradi wa kisima cha maji unaosimamiwa...
0 Reactions
3 Replies
160 Views
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, ndugu Michael Mwang'onda, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa utekelezaji mzuri wa mradi wa usambazaji...
2 Reactions
5 Replies
197 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam linatarajia kuandika historia mpya katika tasnia ya burudani baada ya kutangazwa kwa uzinduzi wa tamasha la kwanza la kimataifa la...
0 Reactions
5 Replies
280 Views
Naenda kuwasilimu kwa jina la Bwana wetu YESU kristo Mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi kuandika vizuri ili muelewe hasa watumishi wa serikali na binafsi lakini pia na wafanyabiashara...
2 Reactions
8 Replies
302 Views
https://www.youtube.com/watch?v=XFLMyP0H5Eg
0 Reactions
2 Replies
121 Views
https://www.youtube.com/live/zvViP7gngNM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Shirikisho la Dunia la Madaktari Bingwa wa...
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Kama una kwama kupiga hatua kwenye maisha yako tenga muda wa kuwa pekee yako kujizikiliza . tupo katika dunia yenye kelele nyingi kama vile social media(mitandao ya kijamii), Marafiki, sehemu za...
4 Reactions
3 Replies
449 Views
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Ndugu Wazo Michael Mwang’onda, ametembelea na kuweka jiwe la msingi mradi wa kisima cha maji kilichopo Ilala Kota Jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo...
1 Reactions
4 Replies
248 Views
Naombeni ushauri maana humu kuna watu wengi wenye akili na experience tofauti tofauti ila naomba kufahamu namna nzuri ya KUDAI mshahara maana inaonekana BOSS Hana mpango wa kulipa mwezi mmoja na...
2 Reactions
20 Replies
347 Views
Back
Top Bottom