Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baadhi ya kesi za kubaka Tanzania zinaweza kuwa za mchongo sana tuwe makini vijana ,ukiona kijana mwezako yamemkuta usifurahie mara nyingi tumezungukwa na watu wabaya sana mitaani .
2 Reactions
4 Replies
152 Views
Anonymous (01f4)
Hapo ni Mbagala Stend ya Daladala, hivyo ni vyoo vya hapo, kila siku vinajaa havina usafi wa maangalizi ya Jamii, ujumbe huu ufike mbali ili hatua zichukuliwe kwani ni mwanzo wa kusambaza magonjwa.
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Napita mitandaoni nasikia wanasema kamanda n msaliti sasa kama n msaliti wala haina shida Basi aende yeye AKAFUNGWE had hapo haki itakapo patikana Hiv LISU harakat hz ameanza Leo mmesahau Zile...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO) limetoa limesisitiza kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda urithi wa mila, utamaduni, tiba asili na mazingira kama...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Na Mwandishi Wetu. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula , amesema uandishi wa habari usiozingatia maadili unaweza kuhatarisha umoja wa...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Habari iliyopo mezani Tanapa mikoa ya kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji
0 Reactions
2 Replies
194 Views
Mathayo 26:29 Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu. Yesu anasema hataki pombe ya...
-1 Reactions
5 Replies
166 Views
guest-1795378001
1)Bila kuridhiana na wananchi wote hataponya majeraha ya wanachi 2)vyama vya siasa ikiwepo chadema wao sio wawakilishi wa wananchi ambao wengi wao sio hata wanavyama wa vyama vya siasa,chadema...
1 Reactions
2 Replies
154 Views
Anonymous (01f4)
Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala iruhusu watu wafuate utaratibu mzuri na mpango mzuri zaidi wa watu 2000 wanaweza kupata kujiajiri, itapata mapato kwa maegesho kwa kila gari linaloingia...
0 Reactions
2 Replies
172 Views
Kijana anayefahamika kwa jina la Ibrahimu Said maarufu kitundu leo Aprili 17, 2026 amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Tabora akituhumiwa kwa kosa la kumuingizia uume...
4 Reactions
25 Replies
567 Views
Je, umewahi kujiuliza mustakabali wa mijadala yetu hapa JamiiForums utakuwaje? Fikiria ulimwengu ambapo kuandika hoja nzito, kufanya utafiti wa kina, na kujibu mada mbalimbali kunakuwa rahisi...
67 Reactions
153 Replies
2K Views
Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam imemhukumu kifungo cha maisha jela Habibu Nassoro ‘Ngatipula’ (52), mjasiriamali na mkazi wa Kongowe Mzinga baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti...
6 Reactions
19 Replies
503 Views
Wakuu kwema, katika kutafuta riziki, ninatoa huduma ya kusafirisha abiria jijini, magari yangu yote 5 yanaanzia Mbagala kwenda mjini na sehemu nyingine za jiji. Jana saa 6 usiku nimewapigia...
5 Reactions
12 Replies
311 Views
Mathayo 19:29 Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele...
3 Reactions
33 Replies
486 Views
Hakuna wa kumshukuru kwa hili Sana sana Alaaniwe aliyeifungia hii mitandao
6 Reactions
42 Replies
680 Views
Salaam! Ikiwa msaidizi mwenye macho ya tai ameona umuhimu wa chura kupewa macho ya tai Ili kuona sawa sawa, Kitaalamu hili linawezekana? Karibuni 🙏
3 Reactions
6 Replies
215 Views
Naomba kuwasilisha kilio cha muda mrefu cha ukosefu wa maji safi kutoka DAWASA sisi wakazi wa Goba Mpakani Mtaa wa Badilika, yapata sasa mwaka mzima na zaidi hatupati maji, mafundi wanapita...
0 Reactions
5 Replies
178 Views
Nahitaji 5g router ya halotel ya mchongo. Ambae package imemshinda anataka kuuza router anicheki. 0717217520 (whatsapp)
0 Reactions
5 Replies
508 Views
Kaimu Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Wilaya ya Karagwe, Eng. Justo Mtabuzi amesema Kata ya Nyaishozi ina Vijiji vitatu ambavyo ni Nyaishozi, Lukale na...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Back
Top Bottom