Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuiteketeza bangi kwa kuichoma moto nadhani si njia sahihi kwani wanaoteketeza wanaivuta bila kujitambua.Siku wakipimwa wavutaji bangi ,hawatanusurika!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Zanzibar. Polisi imemkamata mtuhumiwa anayedaiwa kuwajeruhi watu sita kwa kisu mjini Zanzibar Mei 29. Mtuhumiwa huyo alikamatwa jana saa 8:30 mchana akituhumiwa kuwajeruhi watu hao katika mgahawa...
0 Reactions
4 Replies
956 Views
Kiukweli clouds TV Mnaboa hasa kwenye matangazo yenu ya Habari
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Baada ya report ya Makinika WATANZANIA wengi wamepata uelewa kuwa wanaibiwa mchanga na sio madini hivyo wanafuraia mchanga kubaki na madini kuondoka. Tunatakiwa kuamka na kukataa kuibiwa
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Mti huu wenye miiba, huzaa matunda ya msimu yenye kokwa linalozungukwa na ganda huwavutia sana mbuzi kuyala kutokana na ladha yake na umuhimu wake kiafya licha ya kuwa matunda hayo yanaota kwenye...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Kutokana hali ya maisha kuwa ngumu na hatujui wengine tunapoelekea. Kuna kitu nimekigundua uko tunapoelekea hatupajui basi nimegundua bila kufoji vitu vifuatavyo utaendelea kubaki mtaani...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Salaam wana JF Mada tajwa yahusika Baada ya serikali kugoma kutoa ajira Kwa walimu wa arts napenda kuiuliza serikali ya Pombe Magufuli Ile milioni 11.5 mliyonikopesha nikasomea bachelor na kunipa...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Akizungumza exclusively kabisa mmoja wa Viongozi wa juu la Baraza la Kiswahli Tanzania ( BAKITA ) jina kapuni amesikitishwa sana na kitendo wa Wajumbe wa Tume ya Kuchunguza mchanga wa Madini...
7 Reactions
33 Replies
8K Views
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah! Yaani dume zima unakosa hela ya...
30 Reactions
318 Replies
28K Views
Wamebarikiwa wanaotendea wema wanyama! Ndioo! wanyama wana hospitali tena mpaka za emergency. Saa tisa usiku mbwa wako akiumia unampeleka hospitali akatibiwe. Wanyama wana polisi wao wanaitwa...
3 Reactions
33 Replies
8K Views
Ashura Shaibu, aangua kilio hospitali baada ya kujifungua mapacha wanne na akifisha watoto 8, adai yeye ni mjane hataweza kuwalea. ----------------- Dar es Salaam. Hali ya umaskini pamoja na...
7 Reactions
210 Replies
21K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imebaini madudu katika uhakiki wa madeni ya mawakala wa mbolea kwa sababu baadhi yao hawakuwa waaminifu. “Tulipoanzisha mfumo wa kutoa pembeje kwa...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Ikatokea siku serikali yetu ikaanza kuajili watu wenye upeo mkubwa wa maarifa na ubunifu bila kutizama vyeti ,nina hakika Tanzania tutapiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo,kiuchumi na kisiasa...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Kumekuwepo na kurushiana maneno baina ya watu humu JF kuhusu suala la mchanga. Watu wamechukulia suala hili kivyama zaidi kuliko kitaifa. Leo namba tupate maoni ya wana JF humu kuhusu maswali haya...
0 Reactions
6 Replies
853 Views
Wapendwa naamini hamjambo kabisa. Napenda kuwajulisha kuwa tangu nimewajuza kuhusu program ya Maarifa ya Kazi, wale waliojitokeza na kuanza kupata huduma hii wanaendelea vizuri. Kwa ujumla huduma...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam wana JF. Katika hangaika zangu za hapa na pale, nilisafiri mbali na mkoani kwangu na nilikaa kwa miaka kadhaa. Baada ya kurudi, nakuta kuna nguzo ya umeme imesimikwa katikati ya kiwanja...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Pengine hata wewe utakua una wa kwako. Kwa mfano kuanzia 1980's mpaka 2000...Kihesa Iringa Lazima watu hawa utakuwa angalau unawakumbuka kwa sura:)
0 Reactions
1 Replies
870 Views
SERA ya Taifa ya maji inaelekeza kila Mtanzania kutembea umbali usiozidi mita 400 kupata maji safi na salama, ikiwa sawa na kutumia muda wa nusu saa kupata huduma hiyo, lakini hali imekuwa tofauti...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
BABA NIFUNDISHE KUHUSU WANAWAKE "Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake? Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…