Makau Js
Member
- May 25, 2017
- 93
- 233
Ikatokea siku serikali yetu ikaanza kuajili watu wenye upeo mkubwa wa maarifa na ubunifu bila kutizama vyeti ,nina hakika Tanzania tutapiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo,kiuchumi na kisiasa.
Degree nyingi na masters nyingi nyakati hizi hazina mashiko wala maslai katika maendeleo ya taifa na ustawi wa baadhi ya wasomi,mtu anafanyiwa course work,anaandikiwa research ,ananunua mitihani na kutoa rushwa ya penzi ilia pate cheti kizuri na kufanikiwa kumaliza chuo,msomi huyu anawezaje kuwa na tija kwa taifa?
Darasa: Serikali izingatie Zaidi kuajiri watu wenye vipaji na maarifa na ubunifu na sio kuajiri kwa kutizama vyeti pekee…kipaji kina nguvu kuliko Elimu. Elimu ya mtu ipo kichwani kwake na sio kwenye cheti chake.
Mtu mwingine hunyamaza kwani hana la kusema; na mwingine hunyamaza kwani anajua wakati wa kuongea. Knowledge is whatever remains after you forgotten what you’ve learned.[HASHTAG]#Knowledge[/HASHTAG].