Bangi iharibiwe kwa namna nyingine

onlytruth

Senior Member
Dec 9, 2016
136
133
Kuiteketeza bangi kwa kuichoma moto nadhani si njia sahihi kwani wanaoteketeza wanaivuta bila kujitambua.Siku wakipimwa wavutaji bangi ,hawatanusurika!
 
Back
Top Bottom