Utafiti: Bila kufoji vitu hivi huwezi kufanikiwa katika ajira na maisha

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,810
Kutokana hali ya maisha kuwa ngumu na hatujui wengine tunapoelekea.

Kuna kitu nimekigundua uko tunapoelekea hatupajui basi nimegundua bila kufoji vitu vifuatavyo utaendelea kubaki mtaani kulalamika issue za ajira.

1.Kufoji katika kuomba kazi.

2.Kufoji cheti chochote cha proffesional ambayo haujasomea kitachoweza kukuingiza kazini.

3.Kutumia cheti cha mtu mwingine kuombea kazi au kujiendeleza.

4.Kufoji dini au kabila maana kuna ajira zingine bila kujifanya kabila lao au dini yao.

5.Kufoji cheti cha kuzaliwa kutoka na ajira zingine zinaendana na umri.

Haya jamani endeleni na nyinyi kutaja vitu muhimu.

Vitakavyomfanya mtu aliyetafuta ajira kwa muda mrefu ambavyo vinaweza kumsaidia.
 
Kwa lugha ya kiandishi kaka ukitumia Herufi kubwa kuandika barua au maelezo yote kwa herufi kubwa ...maana yake unafoka /umekasirika
Asante,ila naamini maneno yako mm huwa nayatumia sn nikikasirika, yani Ni km msistizo.
 
Back
Top Bottom