Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,441
Salaam wana JF
Mada tajwa yahusika
Baada ya serikali kugoma kutoa ajira Kwa walimu wa arts napenda kuiuliza serikali ya Pombe Magufuli
Ile milioni 11.5 mliyonikopesha nikasomea bachelor na kunipa mkataba wa kuirudisha mara baada ya kuniajiri hamuitaki tena au mmenisamehe!?
Ajira mmegoma kunipa halafu mmeniweka kwenye list ya wadau sugu mmeamua kunidharirisha
Basi nafikiri hii hela mlionikopesha msahau kuwalipa mkae na hizo ajira zenu.