Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nashindwa kuelewa kwa nini BBC Swahili tawi la Tanzania wamekuwa namna hii, hii tabia yao ya kubagua wanafunzi wa field kutoka vyuo vingine na kukubali wa UDSM tu si sahihi, Mnaua ndoto za vijana...
11 Reactions
80 Replies
9K Views
Mubashara hotuba ya Rais mkoa wa pwani Azam two. Raisi anasema wafungwa wapige kazi kufungwa sio sawa na kwenda Sheraton,Mafisadi wakalipie jasho walilolichuma wakiwa jela Askari magereza pigeni...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nimekuwa na furaha sana kwa kipindi hiki ambacho mke na watoto wangu wamenitembelea kipindi hiki cha likizo yao. Hakika ukipa mtoto, usiache kumshukuru Mungu kila kukicha...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Si kila mchawi au mshirikina ana uwezo wa kupaa...uchawi na ushirikina una level zake kama ilivyo kwenye viwango vya elimu Mchawi anayejipendekeza kupaa bila kupata maarifa kamili hujikuta akipiga...
16 Reactions
202 Replies
36K Views
Wavulana wavaa sketi kuenda shuleni Uingereza kupinga kunyimwa ruhusa ya kuvaa kaptula Takriban wavulana 30 wamevaa minisketi kuenda shuleni wakiandamana kupinga, baada ya kuambiwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunajifunza Ulaya magharibi waliendelea baada ya kuanza kufikiri/Reasoning juu ya matatizo yao na suluhuisho la kudumu juu ya kinachowasibu... Tnajifunza wakati dunia nzima ipo katika...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa, Niende kwenye mada moja kwa moja, Kuna kampuni inaitwa CSI hapa Kinyerezi two power plant inaajiri wafanyakazi haiwapi mkataba wowote wa ajira na huwa inawalipa wafanyakazi...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kesi ya madai ya sh,bilioni moja dhidi ya jeshi la Polisi iliyofunguliwa na mfanyabiashara Mathew Mollel imeshindwa kuendelea katika mahakama kuu ,Arusha mara baada ya jaji anayesikiliza kesi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau, Kuna benki imenifanya nisiwaamini tena hapa Duniani nataka kuwahama. Naombeni taratibu za kuhamisha salari toka benki moja kwenda nyingine.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Utumishi na Utawala bora, Seleman Jafo amefunguka na kusema kuwa katika bajeti ya mwaka 2017/2018 inakwenda kutekeleza ulipwaji wa madeni ya walimu ambao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunapata magonjwa na hata ndoto na majinamizi ya ajabu si kwa sababu ya kuwangiwa au mambo bali mpangilio wetu wa vitu ndani ya nyumba zetu. Kuna baadhi yetu tuna pepo la kupenda kukusanya vitu...
28 Reactions
95 Replies
11K Views
Katika hali isiyo ya kawaida kituo cha televisheni cha TBC kimeshindwa kuonesha moja kwa moja tukio la uwekaji wa jiwe la msingi katika kiwanda cha Sayona mkoani Pwani. Mheshimiwa rais John...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
TAASISI ya Kimataifa ya Lishe (Nutrition International), iliyokuwa ikijulikana kama Micronutrient Initiative imezindua program mpya ya ‘Right Start Initiative’ Tanzania kwa lengo la kuboresha...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Mwanafunwa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Lulumba, Lameck Jeremieh (18),amefariki dunia baada ya kuzama na kunywa maji mengi, wakati akiongelea kwenye bwawa la magereza lililopo New...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naztoa kwa dhati pole zangu kwa askari walo poteza maisha ,ni kweli askari ni nyama ya risasi lakni si kufanyiwa unyama huu naimani na watanzania wezetu ambao wamejawa na visasi ,na chuki ambazo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari. Mimi ni mwenyeji katika mji huu wa Rombo Tarakea,kweli maisha yamekuwa magumu,biashara haziendi yaani sahizi kumejaa vumbi tu.Naona kuna wafanyakazi wengi wa serikali wanalalamika ugumu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa tangu matukio ya mauaji yaanze kutokea katika maeneo ya Kibiti, mwazo ilionekana kama mchezo mchezo hivi lakini kadri siku zinavyo zidi kusonga mbele inaonekana tatizo hili...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mratibu wa Ugonjwa wa Kifua kikuu maeneo ya migodi kutoka Wizara ya Afya Dk. Allan Tarimo, alisema hayo katika mkutano wa robo mwaka wa kamati ya ufundi ya kuzuia magonjwa ya kifua kikuu katika...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Mamilioni ya wapenda haki kote duniani kesho watajitokeza katika pembe mbalimbali za ulimwengu kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yenye lengo la kutangaza himaya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…