Yanayofanyika mradi wa umeme wa gesi Kinyerezi 2

cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,358
2,000
Habari wana jukwaa,

Niende kwenye mada moja kwa moja,

Kuna kampuni inaitwa CSI hapa Kinyerezi two power plant inaajiri wafanyakazi haiwapi mkataba wowote wa ajira na huwa inawalipa wafanyakazi in weekly basis. Mfanyakazi hulipwa 150,000 hadi 170,000 kwa wiki na hupewa cash mkononi hivyo serikali inapoteza kodi kubwa kupitia kampuni hii.

Kampuni hadi inapewa tenda ya mradi mkubwa kama huu ina maana imejitosheleza na imekubaliana na sheria na taratibu za kazi ikiwemo kumpa bima ya afya mfanyakazi na stahiki zingine kama kumchangia mafao ya mifuko ya hifadhi ya jamii. Hawa wahindi ni wajanja wajanja hivyo serikali iwamulike ili wawalipe wafanyakazi mishahara kupitia benki, iwape mikataba ya ajira pamoja na kuchangia wafanyakazi mifuko ya jamii.

NB: Sina chuki wala hiyana na kampuni hii maana mimi nimeajiriwa hapa kwenye mradi huu nalipwa mshahara mkubwa tu na stahiki zote na sijaajiriwa na kampuni hii ya CSI bali najionea yanayoendelea na si vibaya kuwasemea wengine maana wanalalamika chini chini hawajui pa kuanzia kudai haki yao.

Kazi njema.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,786
2,000
Habari wana jukwaa.Niende kwenye mada moja kwa moja.Kuna kampuni inaitwa CSI hapa kinyerezi two power plant inaajiri wafanyakazi haiwapi mkataba wowote wa ajira na huwa inawalipa wafanyakazi in weekly basis.Mfanyakazi hulipwa 150,000 hadi 170,000 kwa wiki na hupewa cash mkononi hivyo serikali inapoteza kodi kubwa kupitia kampuni hii.Kampuni hadi inapewa tenda ya mradi mkubwa kama huu ina maana imejitosheleza na imekubaliana na sheria na taratibu za kazi ikiwemo kumpa bima ya afya mfanyakazi na stahiki zingine kama kumchangia mafao ya mifuko ya hifadhi ya jamii.Hawa wahindi ni wajanja wajanja hivyo serikali iwamulike ili wawalipe wafanyakazi mishahara kupitia benki,iwape mikataba ya ajira pamoja na kuchangia wafanyakazi mifuko ya jamii.NB:Sina chuki wala hiyana na kampuni hii maana mimi nimeajiriwa hapa kwenye mradi huu nalipwa mshahara mkubwa tu na stahiki zote na sijaajiriwa na kampuni hii ya CSI bali najionea yanayoendelea na si vibaya kuwasemea wengine maana wanalalamika chini chini hawajui pa kuanzia kudai haki yao.Kazi njema.
Waache wafanyakazi walipwe chao mapema ili waepukane na dhuluma za NSSF
 
mwenda wazimu

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
824
1,000

iyo ni kampuni nenda bandarini uone watu wanalipwa dirishani na bandari zaidi ya watu 200 tukisema tunakuwa wachochozi
 
delako

JF-Expert Member
Oct 6, 2012
2,593
2,000
Hilo la kodi ni sawa kwa mtazamo wangu but kwa hilo la mifuko ya kijamii ni bora watu wale chao leo kwan kuweka pesa ambayo hautakuja itumia ni bora utumie leo.
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,358
2,000
haya malipo makubwa sana, hiyo ajira iache iendelee ni ya muda mfupi
Ajira hata ikiwa ya miezi 6 lazma ifuate sheria za kazi ikiwemo kutoa mikataba.Mbona kuna kampuni zingine humu zinatoa ajira za muda mfupi na mkataba unapewa?
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,358
2,000
Hilo la kodi ni sawa kwa mtazamo wangu but kwa hilo la mifuko ya kijamii ni bora watu wale chao leo kwan kuweka pesa ambayo hautakuja itumia ni bora utumie leo.
Ni uongo kwamba eti huwezi kuchukua mafao yako hadi miaka 55 na kuendelea nina ushahidi wa kutosha marafiki zangu mwezi ulopita walifungua mafao yao na wiki iliyopita walipigiwa simu mafao yao yapo tayari na wameshavuta chao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom