Ni kitu gani kimejificha katika Mgogoro wa Kibiti?

Seif Kazige Mbambizi

Senior Member
May 7, 2016
135
225
Ni muda mrefu sasa tangu matukio ya mauaji yaanze kutokea katika maeneo ya Kibiti, mwazo ilionekana kama mchezo mchezo hivi lakini kadri siku zinavyo zidi kusonga mbele inaonekana tatizo hili linaendelea kukua na maisha ya watanzania wenzetu yanazidi kupotea bila sababu.

Muda umefika sasa Serikali ituambie tatizo ni nini? Ni wakati sasa serikali inapaswa kutuambia mvutano huu unasabishwa na nini?

Ni wazi kwamba zipo sababu nyuma ya pazia zinazo sababisha tatizo hili ambazo mamlaka zetu zinazifahamu, ni bora njia za mezani zikatumika ili kumaliza tofuti hizo tofauti na hapo maisha ya raia yataendelea kupotea.

Silaha nyingi zinamilikiwa na vikosi vya ulinzi na usalama sasa inakuaje zinakuwepo silaha nyingine ambazo zinamilikiwa na majambazi wakati ukaguzi unafanyika mara kwa mara?

Kuna uwezekano mkubwa wa mpasuko ndani ya zikosi vyenyewe kwasababu hii sio hali ya kawaida, siwaoni wananchi wenye nguvu kiasi hicho cha kukabiliana na Police kwa muda wote huo bila kushindwa.
 
mulisaaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,933
2,000
Umeongea kama mwanafunzi wa primary. Mauwaji ni mgogoro??

Mkomavu

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
11,103
2,000
Mpasuko ndani kwa nje mamaaaa unaona sasa mada zenu korofishi hizi mimi kucha sina
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom