Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,547
- 729,423
Tunapata magonjwa na hata ndoto na majinamizi ya ajabu si kwa sababu ya kuwangiwa au mambo bali mpangilio wetu wa vitu ndani ya nyumba zetu.
Kuna baadhi yetu tuna pepo la kupenda kukusanya vitu mpaka nyumba inaelemewa kabisa.
Kabatini kuna nguo za tangu mwaka juzi huzivai wala huzigawi zipo tuu zimejaza kabati.
Kwenye draw kuna mazagazaga kibao mengi hayana faida wala maana yoyote.
Dressing table imeelemewa na makopo ya vipodozi vilivyokwisha tumia.
Una draw ya dawa nyingi zilishaexpire umeziweka tuu huzitupi.
Jikoni kuna masufuria mabovu,thermos na majagi yaliyopasuka pamoja na vyombo vingine huvitupi una nini wewe lakini
Huko store hakufai, bafuni vipande vya sabuni na madodoki na viogeo wengine hata makopo ya chooni yaliyopasuka yamehifadhiwa.
Huko sebuleni una cd na dvd mbovu, magazeti nk nk.
Shoe rack imeelemewa na viatu vibovu, vipo tu si kama pambo bali uchafu.
Mwisho wa siku unakaribisha magonjwa na roho zisizo na kikao.
Kuwa na vitu vichache vyenye matumizi na vilivyo kwenye mpangilio mzuri usichokitumia wala kukihitaji kigawe kiuze au kitupe nyumba nayo ipumue.