Nataka kuhamisha mshahara wangu upitie CRDB taratibu zipoje na je inawezekana?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Wadau,

Kuna benki imenifanya nisiwaamini tena hapa Duniani nataka kuwahama. Naombeni taratibu za kuhamisha salari toka benki moja kwenda nyingine.
 
Kwani ulipoamua mshahara wako upitie benki unayotumia kwa sasa ulifanyaje? Basi fanya kama ulivyofanya wakati ule. Toa taarifa kwa yule uliyemwambia mshahara wako upitie benki unayotumia sasa. Na mambo kama haya yanahitaji utulie tu kidogo utajua la kufanya, sio lazima uyalete JF. Swali lako ni sawa na Zero kuuliza aanze kula mboga au ugali baada ya kupewa chakula na mama yake.
 
Back
Top Bottom