Ndugu zangu wakenya msijaribu kushindana na Tanzania. Lakin tunafanya hivyo kwa nia nzuri. Tunataka kuwaletea unga badala ya mahindi. Na miaka ijayo tutakuwa tunapika kabisa ugali na kuwaletea...
Tanzania ipo katika mazungumzo na wataalamu toka Ethiopia kupanga ujenzi wa bwawa kubwa la kuzalisha umeme mwingi utakaotosha Tanzania.
Hapa chini ni Ikulu ya Dar es salaam na mazungumzo yakiendelea.
Nilikuwa nasikia na nikawa napuuzia ila kwa takribani mwezi mmoja sasa nimekuwa nikiifuatilia na kuisikiliza kiumakini sana Idhaa ya Kiswahili ya BBC ( Radio ) hadi hatimaye nikaja kupata majibu...
Akihojiwa na kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds Tv amepingana na msimamo wa rais Magufuli kuhusu kupiga marufuku wanafunzi waliopata mimba mashuleni
Msanii Msomi Niki amesema Magufuli anawanyima...
Hii inaonesha kuwa mkandarasi hajapewa ushirikiano wa kutosha katika design to construction ya jengo jipya la polisi linalotazamana na ubalozi wa Marekani.
Kwa ninavyojua mimi, color code ya...
Wakenya kweli ' wamedata ' na ' hamnazo '. Ni kwamba katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais na nafasi zingine za Uongozi mwezi August tarehe 12 nchini Kenya Umoja wa Wapinga Vilevi na Walevi...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Salum Hamduni amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wengine wawili wanashikiliwa na Jeshi hilo pia.
Joshua Benjamin (14) ambaye alikuwa...
Imebainika kuwa support thread zilizomo JF zilizoanzishwa na makampuni mbalimbali ya huduma na biashara, Basi Vodacom inaongoza kwa kuwa na threads nyingi za malalamiko huku wahusika wa kujibu...
Wahitimu wa Shule Feza (Feza Alumni) wakijumuika katika Chakula na Michezo Mbalimbali kweny sikukuu ya Eid jana wakati walipowatembelea Watoto hao kituo cha Chakuwama hili kuwafariji Watoto. pia...
KATIKA WACHAFU MIA MSAFI MMOJA ATAONEKANA???
Najiuliza kimyakimya wanatokea makwapurwa mia lakini ndani yao kuna msafi mmoja tu utamwona?
Na mpaka umwone huyu ni msafi ama anaafadhali lazima...
Wakuu muishio Angola ndugu yenu nimepata kazi kwenye moja ya kampuni za simu hapo Luanda, yeyote aliye hapo jijini tuwasiliane ili angalau nijue ABC za hapo town...nyumba za kuishi,usafiri na...
Mjini na tochi hazifai kabisa. Matrafiki najua mnatimiza wajibu wenu ni vizuri sana lakini pia ni vizuri kuangalia na mazingira ambayo mnafanyia kazi na msiyabebe kuwapendelea nyie tu bali...
Naitaji mbwa kama yupo mtu anafahamu wapi naeza kupata anipe maelekezo, siitaji mbwa wa mitaani bali mbwa walio na umbo kubwa na alie na mafunzo kwa ajili ya ulinzi ktk mabanda yangu ya mradi wa...
Kwa wale ambao walishawahi kutuma na kupokea mizigo kutoka nje au ndani ya nchi. Ni njia gani naweza kuitumia kupata mzigo wangu kwa haraka zaidi na kwa huakika? Mzigo huo ni box dogo muundo wa A3.
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka mitano anasadikiwa kubakwa katika eneo la Kabuholo kata ya Kirumba wilayani Ilemela ijini Mwanza na kijana mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kisha kutokomea...
WAZIRI TIZEBA AFUNGULIWA KESI YA JINAI:-
Baada ya Manyanyaso ya muda mrefu, hatimaye, Juni 19,2017, Mhandisi Adrian Phillipo Tizeba, AMEMFUNGULIA mashitaka Polisi wilayani Sengerema, mdogo wake...
Jana nilifika airport Dar nikaita Uber, baada ya kuingia kwenye gari nilishangaa watu wakavamia ghafla nakuanza kugombana na driver eti Uber hairuhusiwi Airport Dar, nilishangaa sana nikauluza...