Support thread yenye malalamiko mengi ni ya vodacom

Support thread yenye malalamiko mengi ni ya vodacom

Mlendamboga

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
671
Reaction score
348
Imebainika kuwa support thread zilizomo JF zilizoanzishwa na makampuni mbalimbali ya huduma na biashara, Basi Vodacom inaongoza kwa kuwa na threads nyingi za malalamiko huku wahusika wa kujibu threads hizo wakilala mbele bila majibu!!
Tangu ianzishwe majibu yaliyotolewa kwa walalamikaji ni mara 6 tu baada ya hapo wakaingia mitini moja kwa moja baada ya kuzidiwa na malalamiko kutoka kwa wateja. Kuna threads 6500 plus kati ya hizo zenye kupongeza 32, Malalamiko 5318 zilizobakia ni story za kuchangia zikiungana na lawama zaidi!!!
 
Mmhhh nlikua nikiwalaumu haasa ndugu jamaa na marafiki wanaoishi mkoa wa SHINYANGA kua kwanini
Hawatumii MTANDAO WA VODACOM
nimejionea mwenyewe hapa mkoa wa shy shy mjini
Mtandao wa voda haufai
Hususan ukijiunga la pili kununua LUKU sahau
Kweli ndomaana wengi wakazi wa shinyanga mjini wehamia halotel kisa internet
 
Back
Top Bottom