TCU tuangalieni kwa jicho la pili watoto wa kimasikini!

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
3,196
4,319
habari wanajamvi ni miezi na masiku machache yamepuita tangu rais john pombe magufuli atoe tamko la kutaka tcu waache suala la kuwachagulia wanafunzi vyuo. tcu kwa kuheshimu kauli ya kiongozi wetu wa nchi walifanikisha hilo lakin bado kuna vitu havipo sawa katika kusimamia huu mchakato wa vyuo kuna makosa mengi sana yanafanywa na vyuo lakin tcu wapo kimnya. juzi wakati naangia mwalimu nyerere kuuangaklia bei ya fomu nimekuta sh 30000 lakin narudi upande wa pili NIT ngoma ni ngumu kumeza sh 50000 kwa mtoto wa kitanzania tena wa hali ya chini usawa huu utagaiwa wapi na mzazi kama sio kuumiza vichwa hapo badp hujaomba mkopo kwakweli ni suala kama la kawaida lakin tcu naomba mtuangalie kwa jicho lapili. my take; tcu tunaomba msimame na sisi watanzania wa hali ya chini haiwezekani kwenu watu walikuwa wanaapply vyuo vitano kwa sh 50000 lakin now chuo kimoja kwa bei hiyo hiyo huo ni unyonyaji uliotukuka tunaomba bei ya kuomba vyuo ishuke angalau mueke kama mwalimu nyerere. SHUKRANI
 
Si mnamshangilia, shangilia basi
 
Kila akisema mnashangilia huku unaumia wenyewe!
Haya sasa TCU wametekeleza agizo......si hamtaki kuchaguliwa vyuo vya kwenda na TCU!
 
Watu walishangilia sana siku Mkuu wa kaya anazuia TCU kufanya hiyo kazi.

Lakini zile changamaoto zilizafanya TCU waanze kufanya hiyo kazi mwaka 2010 hazijapatiwa tiba mbadala.

Leo ndio umuhimu wa TCU utaonekana.

Ila wale wapuuzi wachache wanaoshangilia kila kitu bila kupima wataendelea kushangilia tu.
 
Endeleeni kuandamana kumpongeza .

Nasubiri uvccm au rais wa vyuo vikuu kuja kukanusha kwamba huu ni uzushi wanafunzi wote wamepata mikopo yao
 
kweli,asee nadhani safari hii itakuwa gharama sana application ya vyuo direct kwa gharama jinsi ilivyokubwa.
mi nadhani ingekuwapo ile system,kwamba mwanafunzi alipe hela yake kama zamani yani 50,000/= then apewe code na TCU ambayo ataweza kuingia katika system ya chuo chochote kile ilimradi isizidi idadi ya vyuo ambavyo wao wataona inafaa,mfano kama ni vitatu au vitano tu na kufanya application kwa gharama hiyohiyo tuu.then wao TCU watafahamu wanagawa vp hiyo pesa...kwa maana na uhakika hawapo kupata faida kuhusu wanafunzi kwenda kusoma elimu ya juu,so wasitozwe hela kiasi hiko watoto wa hali za chini na juu pia.wote tupo sawa katika uhitaji wa elimu.
 
Next time msiwe mnashadadia mambo bila kupambanua matokeo yake ni nini!
TCU ilikua msaada mkubwa kwa wanafunzi wote bila kujali maskini wala tajiri katika mchakato mzima wa kupata sehemu kujiendeleza kielimu
Ilikua unalipa 50000 tu na wao nijukumu lao kuhakikisha unapata chuo cha kwenda kutokana na kiwango chako cha ufaulu na machaguo yako.
Hata kama umetemwa mara 3

Kwa mpango huu wakuapply Chuo direct kuna watu watalazimika kuapply hata mara 10 ndipo wapate vyuo
10 × 30,000=300,000 while tcu ilikua 50,000 tu
Mbona mtakoma
 
i thought kupitia vyuoni itakua bure!
Ndio maana ulishamgilia? Sisi tuliomba vyuo wenyewe tunajua mwaka 2009 ndio nilikuwa nahangaikia chuo kipindi hicho ifm-40,000/=, UDOM- 30,000, MUCCOBS- 20,000/=, RUCCO 20,000/= ndio gharama nilizotumiaga kuomba vyuo hivyo na hiyo hairudishwi bado bodi hapo
 
Na watakoma kweli
 
uliniona nashangilia?
 
Kila akisema mnashangilia huku unaumia wenyewe!
Haya sasa TCU wametekeleza agizo......si hamtaki kuchaguliwa vyuo vya kwenda na TCU!
Baba yao amewaponza...wamwambie awae hela za kuapply hahahha...
Ndio ubaya wa kushangilia kila kitu
Halaf walisahau kumuomba baba atangaze pia kila mtu aapply anapotaka na kila chuo kitoze sh 5000 tu ya fomu...sasa hivi vyuo vinaenda kupata pesa za buree
Unaapply vyuo 3 halfu vyote unatemwa...duuh tcu utakumbukwa
 
Back
Top Bottom