Msemo wa "Elimu haina mwisho" wafutika rasmi nchini kwetu.

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,526
2,000
wp_ss_20170625_0001.png
Upo mfumo usio rasmi Q T, utawasaidia ,na hoja ya Mh Rais ni ya kisheria
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
5,456
2,000
Upo mfumo usio rasmi Q T, utawasaidia ,na hoja ya Mh Rais ni ya kisheria
Kuna wakati betri zikikaribia kuisha chaji ukizibondabonda chaji hurudi kidogo, nawe ulipaswa ufanywe hivi.Wakati watu wanapiga kelele kuwa hatua hiyo itakiuka baadhi ya mikataba kimataifa ambayo nchi imeridhia wewe unakuja na hoja mbovu! Unasema QT na kama ni wa primary,??
 
BADO MMOJA

JF-Expert Member
Jul 19, 2012
2,151
2,000
ACHA KUPOTOSH
WALE WANAO SEMAGA *ELIMU* HAINA MWISHO
SASA MWISHO WAKE NI *MIMBA*

*MzeeKasema*
ACHA KUPOTOSHA UKWELI MKUU HUNA HATA AIBU MAGUFULI AMEKAZIA TU BAADA YA KUONA KUNA NGO ZIMEHONGWA KUHALALISHA UPUUZI. TOKA LINI KABLA YA MAGUFULI MWANAFUNZI MJAMZITO ALIKUWA ANARUHUSIWA KUENDELEA NA MASOMO KATIKA MFUMO RASMI? KINACHOFANYIKA ATAINGIA KAMA PRVATE CANDIDATE NA SIYO SCHOOL CANDIDATE KAMA JAMBO HULIJUI USILIPOTOSHE PATA UKWELI KISHA ANDIKA UNACHOANDIKA
 
Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,872
2,000
WALE WANAO SEMAGA *ELIMU* HAINA MWISHO
SASA MWISHO WAKE NI *MIMBA*

*MzeeKasema*
Kutokana na Helena wako dunia was maana ya elimu, kweli itakuwa ndio mwisho wao lakini kwetu sisi tunasema ndio kwanza inatuongezea uwezo wa kupata elimu ya maisha yetu zaidi (informal) badala ya kuwa na formal lakini ukiwemo na Masada kwa jamii yako.
Nadhani wewe una fikiria use kama Tundu Lissu ambaye formal education imemtoa kwenye utanzania na kubakia kwenye usomi. Tutazidi kufurahi jinsi anavyoichachafya Serikali but at last tutashangaa hatukuwa na cha kui-offer jamii coz hatuna elimu dunia ya kweli (informal).
 
BADO MMOJA

JF-Expert Member
Jul 19, 2012
2,151
2,000
Kuna wakati betri zikikaribia kuisha chaji ukizibondabonda chaji hurudi kidogo, nawe ulipaswa ufanywe hivi.Wakati watu wanapiga kelele kuwa hatua hiyo itakiuka baadhi ya mikataba kimataifa ambayo nchi imeridhia wewe unakuja na hoja mbovu! Unasema QT na kama ni wa primary,??
MIKATABA YA KIMATAIFA !!!!!! NAWEWE NA UBONGO WAKO UNASHABIKIA UMALAYA SHULENI KISA MIKATABA YA KIMATAFA HEBU NITAJIE NI NCHI GANI DUNANI INARUHUSU MABINTI WAKIWA SHULENI WAZAE KISHA WARUDI SHULE KUENDELEA NA MASOMO ITAJE HAPA.
 
COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,526
2,000
ACHA KUPOTOSH

ACHA KUPOTOSHA UKWELI MKUU HUNA HATA AIBU MAGUFULI AMEKAZIA TU BAADA YA KUONA KUNA NGO ZIMEHONGWA KUHALALISHA UPUUZI. TOKA LINI KABLA YA MAGUFULI MWANAFUNZI MJAMZITO ALIKUWA ANARUHUSIWA KUENDELEA NA MASOMO KATIKA MFUMO RASMI? KINACHOFANYIKA ATAINGIA KAMA PRVATE CANDIDATE NA SIYO SCHOOL CANDIDATE KAMA JAMBO HULIJUI USILIPOTOSHE PATA UKWELI KISHA ANDIKA UNACHOANDIKA
Nani kamtaja Magufuli hapo, jiongeze wewe.
 
Ntate Mogolo

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
332
1,000
Mleta Mada! Toka lini wanafunzi waliojifungua waliruhusiwa kurudi na kundelea na masomo katika shule walizokuwa awali!

Tusipotoshe ukweli, tutakuwa hatuwasaidii hao tunaodhani tunawatetea. Kila mzazi awajibike kutoa malezi bora na elimu ya uzazi na makuzi kwa mwanae! Hiyo ndiyo kinga.

Hakuna mzazi atakaye kubali mwanae kukaa darasa moja na mwanamke aliyejifungua! Atapotosha wengi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom