Bilyagaruka
New Member
- Jun 22, 2017
- 1
- 0
WAZIRI TIZEBA AFUNGULIWA KESI YA JINAI:-
Baada ya Manyanyaso ya muda mrefu, hatimaye, Juni 19,2017, Mhandisi Adrian Phillipo Tizeba, AMEMFUNGULIA mashitaka Polisi wilayani Sengerema, mdogo wake, Waziri Thadeo Phillipo Tizeba (maarufu kama Dkt Charles John Tizeba), kwa makosa ya “Kudharau amri halali ya mahakama iliyomzuia kuingia kwenye nyumba yake (waliokuwa wanadaiana mahakamani), Kuiharibu na kuiba mali” kwa RB Na. SEN/IR/1039/2017.
April 05,2016, Adrian ALISHINDA kesi ya Madai Na. 22 ya 2015 na Feb. 24, 2017 AKAKABIDHIWA RASMI nyumba yake iliyo kijijini ambayo SASA Waziri Tizeba na Mtu mwingine wanaikalia kwa nguvu, Kuibomoa na kuiba mali!
Adrian alipolalamikia hali hiyo, Mei 05,2017, Jaji S.B.M.G Matupa wa mahakama Kuu Mwanza, katika Hukumu yake alisema kwamba Vitendo hivyo ni Makosa chini ya kifungu cha 114A cha Mwenendo wa Makosa ya jinai.
Kutokana na Cheo cha Uwaziri, KUNA KILA DALILI ya polisi wa Sengerema KUOGOPA Kumshughulikia Waziri Tizeba. Ndiyo maana Adrian, Kupitia Taarifa hii, ANAMUOMBA Rais John Pombe Magufuli kupitia Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama na Taasisi zingine, Amsaidie kupata haki yake.
Nakala kwa :
1. Rais John Pombe Magufuli
2. IGP Simon Sirro
3. Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na
4. Umma kupitia Vyombo vya Habari