Mtoto wa miaka mitano abakwa Mwanza

Mtoto wa miaka mitano abakwa Mwanza

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,274
Reaction score
25,322
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka mitano anasadikiwa kubakwa katika eneo la Kabuholo kata ya Kirumba wilayani Ilemela ijini Mwanza na kijana mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kisha kutokomea kusikojulikana.

Wakizungumzia tukio hilo baadhi ya wananchi katika eneo la tukio wamesikitishwa na kitendo hicho cha kikatili dhidi ya mtoto huyo.

“Kitendo cha kikatili jamani kwani sisi wakazi wa Mwanza tumekumbwa na nini hatuelewi kwani vitendo vya kinyama vimeshamiri tofuati na miaka ya zamani,” walisema Wananchi.

Kwa upande wake Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi amesema kuwa kutokana na kijana huyo kufanya unyama huo kisha kutokomea kusikojulikana amesema jeshi la polisi linaendelea kumtafuta mtuhumiwa huyo na kwamba atakapokamatwa sheria itafuata mkondo wake.

Kamanda Msangi amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ili kuhakikisha mtuhumiwa huyo anatiwa nguvuni.

Chanzo: Mpekuzi
 
Dah, najiulizaga huo ujasiri wa kubaka tutoto tudogo unatokaga wapi sipati jibu, Ee Mungu tulindie hawa viumbe wetu wasio na hatia.
 
Huyu binti akipata mimba tu,kwisha habari yake

Shule ataisikia kwa jirani
 
Pedophile - mtu anaewahusudu watoto wadogo kimapenzi.huu ni ugonjwa,ila nadhani mhusika aliufuga mwenyewe tu.
 
wengine mnaongea upupu sbb hamjui uchungu wa mtoto!hivi wazazi wake wakisoma huu upupu wengine mnaongea watajiskiaje?!!kiukweli hili jambo halikubaliki msiongee ujinga huyu ni mtoto wa miaka 5 sijui kama hata bleed ameanza hadi apate mimba
 
Dah, najiulizaga huo ujasiri wa kubaka tutoto tudogo unatokaga wapi sipati jibu, Ee Mungu tulindie hawa viumbe wetu wasio na hatia.

Hivi unaanzaje hata kusimamisha "mpini" kwa kitoto ambacho hata hakijavunja ungo?

Leo hii kuna wababa hawawezi hata kumvalisha watoto zao Wa kike wadogo kwa sababu ya matamanio ya ngono. Yaani mtu akishaona kapaja tu tayali akili imeamia kwenye kichwa cha chini.

Ndio jamii yetu ilipofika.
 
Dah hii kweli katoto ka miaka mitano kanatamanisha mpaka mkuyenge unasimama, tumefika mbali sana asee na washirikina siku izi wamezidi sana.
 
Hivi unakabaka katoto ka miaka mi5 hata utelezi hakana

Huu ni uchizi/ugonjwa sio bure
 
Wazazi wanatakiwa kuwa makini na watoto wao.
Kesi kama hizi wazazi pia wanapaswa kuwajibishwa. Wapo wazazi nadhani wao wanajua kuzaa tu!

Mzazi hana muda wa kufuatilia mtoto wake anacheza wapi na akina nani! Mtoto mdogo unakuta ametumwa dukani usiku usiku, mzazi wala hajali.

Kama wazazi tunao wajibu mkubwa sana kwa watoto wetu. Kamwe, usimwamini mtu yeyote kwa mwanao!
 
Huyo binti shule/ atasoma kweli chekechea au ndio atafutiwe chelehani mmh mbona kadogo ila tupo tu chelehani kwa watt
 
Kesi kama hizi wazazi pia wanapaswa kuwajibishwa. Wapo wazazi nadhani wao wanajua kuzaa tu!

Mzazi hana muda wa kufuatilia mtoto wake anacheza wapi na akina nani! Mtoto mdogo unakuta ametumwa dukani usiku usiku, mzazi wala hajali.

Kama wazazi tunao wajibu mkubwa sana kwa watoto wetu. Kamwe, usimwamini mtu yeyote kwa mwanao!
Kweli mkuu
 
Daa, shule anaweza kuikosa hivi hivi. (Serikali haisomeshi wazazi)
Acha kejeli za kipumbavu kama huna cha kuchangia si ukae kimya.au ni ww ndio umefanya ivo maana naona akili yako inafanana na huyo alietenda unyama huo wa kubaka kitoto cha miaka 5.shenzi kabisa ww huna adabu.
 
Wa miaka kumi na mine anapata mimba shule hoya labda aende Kenya
 
Back
Top Bottom