Msaada: Waliowahi kupokea mzigo nje ya nchi

Msaada: Waliowahi kupokea mzigo nje ya nchi

Octaman

Senior Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
153
Reaction score
112
Kwa wale ambao walishawahi kutuma na kupokea mizigo kutoka nje au ndani ya nchi. Ni njia gani naweza kuitumia kupata mzigo wangu kwa haraka zaidi na kwa huakika? Mzigo huo ni box dogo muundo wa A3.
 
Tumia DHL wanafanya haraka sana japo cost yao iko juu japo kuna makampun meng ya forwading unaweza uka google kupata info zaid
 
Back
Top Bottom