Hayo yameanzishwa na kanisa katoliki wengine wanafata tu bila kuelewa wakati origin yake ni Vatican.
Marathon imetokana na neno Mariathon ikiwa na mana ya pale mama maria alipomkimbiza mwanae...
Zaidi ya Watanzania 1,000 ambao walikuwa nguvukazi ya taifa wamefungwa vifungo vya maisha katika magereza mbalimbali nje ya nchi huku wengine wakiwa wamehukumiwa kunyongwa.
Waziri Mkuu, Kassim...
Katika interview nyingi nilizoenda kwenye michakato ya kutafuta ajira enzi hizo nimekutana na maswali haya 6 katika kila interview moja;-
**Can you tell me a little about yourself?
**Why do you...
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) anayemaliza muda wake, Jamal Malinzi ametoa kauli ya kukubali rasmi kuachia kiti hicho.
Hatua hiyo imekuja kutokana na kiongozi huyo kuwekwa rumande hadi...
F O O D F O R T H O U G H T .
Nakumbuka enzi hizo nikiwa mtoto mdogo nilikua na tabia ya kuchezea mawe kwa kuyarusha huku na huko.
Siku moja nilirusha jiwe likampata kuku wetu na kufariki...
Asilimia kubwa ya mtakaoshtushwa na Uzi huu ni wale watumiaji wa kubwa wa Guest house/Lodges Motels na Hotels kwa njia Ovo za Uchepukaji na Uzinifu.
Hoja yangu hapa ni nyepesi .
Nilikua...
Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi ...
Habari za wakati huu wana JF.
Ninatamani sana kuwa GT kama vile mkuu The bold The Boss mshana jr pamoja na Yericko Nyerere
Ni mbinu gani nitumie niwe the great thinker?
Naombeni msaada.
Dar es Salaam. Licha ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kupendekeza kila mtu kunywa wastani wa lita 200 kwa mwaka bado Watanzania wanakunywa lita 47 tu za maziwa.
Akizungumza kwenye mkutano wa...
Kwa jinsi Zitto anavyong'ang'ania siku tatu zinatosha kujadili rasilimali za asili ni kama anajipendekeza kwa JPM baada ya kuona uteuzi wa Dr Mkumbo na mama Mwigira katika serikali ya CCM...
Kujua kusoma na kuandika tu iwe ndio qualification ya kuwa mbunge liwekewe muongozo mpya wa kisheria...angalau kiwango cha chini kiwe Diploma.
Inaonekana wabunge wanasita sita kwenye hili sasa...
Nimekuwa nikikutana na utata sana wa kuelewana na wasomi wa ngazi za chini hususani ngazi ya astashahada, sana sana katka eneo la afya mfano madespenser, manurse na mascretary.
Scenario iliyo...
Wajameni hapa Ubungo River Side kuna pub sijaielewa.Leo kwenye foleni nimeona kitu cha ajabu sana.Kuna wadada wavemaa nusu uchi wakicheza mziki huku hata watoto wanachek.Pub ipo pembezoni mwa...
ninyi wahusika wa tigo pesa mmesitisha huduma za tigo pesa bila taarifa tunashindwa kufanya miamala na shughuli zetu sasa
nimekwama na ninatakiwa nimpelekee mteja wangu mzigo siwez kuuchukua kisa...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeingizwa hasara zaidi ya Bilioni 20 kwa kipindi cha mwaka mmoja uliyopita kutokana na bidhaa bandia na zisizokuwa na viwango (feki) zinazoingizwa...
1. KOLOMIJE.
Inasemekana mahali hapo alifika Mzungu aliyeitwa James, hivyo huyu Mzungu akataka watu wamwiite "J" badala ya kutamka jina lote. Hivyo akawaambia CALL ME J, wabantu wakatamka...
Katika kutafakari kwa muda mrefu, nimekuja kupata wazo kwamba, pengine hawa wauwaji wa kibiti wanataka kushusha bei ya mashamba ya huko kibiti, ili wayanunue wao kwa bei ya kuokota, halafu...
Mmoja afariki na Wengine Wajeruhiwa katika Ajali Mlima Kinyope
Mtu mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa katika ajali baada ya basi(TATA) iliyotoka lindi mchana leo kwenda milola kupinduka ktk...
Mkazi wa Kitongoji cha Ilemba, Fokas Pera (48),Kata ya Nankanga Tarafa ya Leala wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, ameuawa na rafiki yake kwa kucharangwa na Panga kichwani kisa deni la mbao...