Kwa wale watumiaji wa barabara ya Ubungo River

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,637
Wajameni hapa Ubungo River Side kuna pub sijaielewa.Leo kwenye foleni nimeona kitu cha ajabu sana.Kuna wadada wavemaa nusu uchi wakicheza mziki huku hata watoto wanachek.Pub ipo pembezoni mwa barabara.
 
Hahahaaaaa, naijua hiyo pub, unataka kujua nini?? Napitaga kuona hizo danse tupu tu, style ya wadada inaitwa LOOK BUT DONT TOUCH hiyo,
Watoto marufuku.
 
Hiyo barabara naipata vizuri sana mkuu.
Kwa jinsi walivofikia kwenye hayo mazingira sio vizuri maana ni pembeni na karibu mwa barabara
 
Back
Top Bottom