Msaada: jamani kwani hakunaga maswali mengine mapya ya "interview"?

BM-40 OPERATOR

Senior Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
153
Reaction score
56
Katika interview nyingi nilizoenda kwenye michakato ya kutafuta ajira enzi hizo nimekutana na maswali haya 6 katika kila interview moja;-

**Can you tell me a little about yourself?
**Why do you want this job?
**Why should we hire you?
**What do you consider to be your weaknesses?
**What is your greatest professional achievement?
**How would your boss and co-workers describe you?

hivi hakunaga maswali mengine ya kuuliza au ndio mambo ya kukopi na kupesti?
 
mkuu CHIKIRA MTABARI account yangu ndio hii "BM-40 OPERATOR"
Nilimaanisha kuwa hilo pia ni miongoni mwa maswali kwenye interview ili waifungue waone una post nini na jinsi unavyocomment kwa hiyo watajua wewe ni mtu sahihi kwao au la! Kwa mantiki hiyo tuwe makini na vitu tunavyopost kwenye akaunti zetu kama bado tunafuta ajira za kuajiriwa
 
Ah ah ah ah mkuu nimependa jibu lako
 
Nilimaanisha kuwa hilo pia ni miongoni mwa maswali kwenye interview ili waifungue waone una post nini na jinsi unavyocomment kwa hiyo watajua wewe ni mtu sahihi kwao au la! Kwa mantiki hiyo tuwe makini na vitu tunavyopost kwenye akaunti zetu kama bado tunafuta ajira za kuajiriwa
teh teh teh teh, nimekusoma CHIKIRA MTABARI
 
Nilimaanisha kuwa hilo pia ni miongoni mwa maswali kwenye interview ili waifungue waone una post nini na jinsi unavyocomment kwa hiyo watajua wewe ni mtu sahihi kwao au la! Kwa mantiki hiyo tuwe makini na vitu tunavyopost kwenye akaunti zetu kama bado tunafuta ajira za kuajiriwa
I think we need to be good people all the time na tuwe tuna comment mambo ya msingi na yanayojenga na sio wakati wa kutafuta ajira tu
 
Nilimaanisha kuwa hilo pia ni miongoni mwa maswali kwenye interview ili waifungue waone una post nini na jinsi unavyocomment kwa hiyo watajua wewe ni mtu sahihi kwao au la! Kwa mantiki hiyo tuwe makini na vitu tunavyopost kwenye akaunti zetu kama bado tunafuta ajira za kuajiriwa
Na hiyo kusema account unayotumia sio sahihi maana ni personal issues,so kama kama personal issues zako unaweza kuzika wazi,watakuamini vipi kuweza kutunza siri za kampuni
 
Huwa Inategemea Wahusika Wanataka Nini Kutoka Kwa Huyo Wanaetaka Kumuajiri, Ingawa Kibongobongo Wengi Huangalia Kitu Kimoja Tu.

Kuna Jamaa Yangu Alienda Kwenye Usaili Kwenye Shirika Moja Kutoka Nje Ya Tz. Walikusanywa Wote Wakapelekwa Kupata Vinywaji. Unaandikwa Jina Na Kinywaji Unachotumia, Kisha Wanakuletea.

Wengi Walichagua Vinywaji Vikali Ili Wapate Confidence, Ni Wawili Tu Ambao Walichagua Vinywaji Visivyo Na Kilevi. Kumbe Usaili Ndio Ulikuwa Umeanza Bila Wao Kujua.

Waliporudishwa Eneo La Usaili, Hakuna Aliyechagua Kinywaji Kikali Aliekaa Ndani Ya Chumba Cha Usaili Zaidi Ya Dakika Moja. Walitoka Mikono Nyuma Kichwa Chini, Ni Wale Wawili Tu Ndio Waliopita.
 
Na hiyo kusema account unayotumia sio sahihi maana ni personal issues,so kama kama personal issues zako unaweza kuzika wazi,watakuamini vipi kuweza kutunza siri za kampuni

Kwani wanakuwa wamekuomba password za akaunti yako?
 
Hebu weka na majibu yake, wengine hatujawah hudhuria interview kabsa
 
Back
Top Bottom