Uwepo wa "spy camera" kwenye Lodge maarufu Dar es salaam.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Asilimia kubwa ya mtakaoshtushwa na Uzi huu ni wale watumiaji wa kubwa wa Guest house/Lodges Motels na Hotels kwa njia Ovo za Uchepukaji na Uzinifu.

Hoja yangu hapa ni nyepesi .
Nilikua napitia technologia mbali mbali siku ya leo , nikaona Uwepo wa Camera Janja kabisa zikanazoweza weza kufichika kwa njia za ajabu na siri kubwa pasipo mtu kuzigundua.

Zipo zinazokaa kwnye kwenye charg za smart phone(hapa nikawaza wale wanaowahi kuomba charge za simu reception), zipo zinazokaa kwnye Kalamu ambazo zinaweza kuachwa tu juu ya meza na zenyewe zikanasa kila kitu hadi sauti, zipo pia amabazo zinakua fixed kwenye saa za ukutani pamoja na picha za urembo wa chumbani.

My take.
1.Watumiaji wa Maeneo hayo Lodge, hapa nazungumzia watumiaji salama (Familia/Mke na Mume) muwe makini sana katika ukaguzi wa vitu kama hivyo muingiapo sehemu husika.

2.Wamiliki wa maeneo yenye Guest house /Lodge ambazo zimekua zikitumiwa kwa matukio ovu , mnaweza kuzitafuta Camera hizi na zinaweza saidia sana endepa patatokea tukio litakalohitaji ushahidi.
(Hapa wamiliki wanapaswa kuzitunza na kuziheshimu faragha za watu ambao hawatoleta mushkeri na baadae itapenda kama watazifuta video hizo)

Baada ya kuziona "Spy Camera " nikasema si mbaya niwaletee na nyie muwe makini. Kuhusu uwepo wake kwnye baadhi ya jiji la dsm , hapo ni kwenu kujiongeza .. mm sijui kama zipo ama hazipo.
 
Hujaeleweka!! Umekuja kutoa tahadhari au umekuja kuwashauri wenye lodge watumie hizo spy camera? Je sheria inawaruhusu kufanya hivyo?
 
Back
Top Bottom