"Mungu ni mkubwa jamani! Mungu Anaweza nyiye! Mungu hashindwi na jambo lolote. Sikutegemea kama Watanzania wenzangu watachangia hadi sasa kupata shilingi milioni thelathini (30,000,000)...
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw.Andrew Lyimo( wa pili kushoto) na Meneja Mkuu wa Toyota Tanzania Bw.William Kadiva (wa pili kulia) wakisaini mkataba wa...
Je ni nchi gani ukifuatilia unaona hii nchi ina mazingira mazuri, ya kuvutia mbele ya macho?
Binafsi naona Marekani. Nchi ya Marekani ina mazingira mazuri sana kuanzia Nature, miji, vijiji hadi...
Saidi Abdallah Mikidadi mwenye miaka 33, mkazi wa Dar es Salaam ambaye anakabiliwa na uvimbe mkubwa sana shingoni, amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akisubiriwa kufanyiwa upasuaji mdogo...
Africa sidhani kama tuna ugumu wa maisha ila ni akili zetu tu mbovu
Mafuta yamegunduliwa Uganda kisha yanasafirishwa na bomba hadi Tanga alafu yanapelekwa Kwa wazungu kusafishwa then wao...
ulimwengu una mipangilio sensitive kama frequency ya redio ( ambapo ukibadikisha kidogo tu huipati channel hiyo ) ambapo kama ulimwengu ungekuwa tofauti kidogo tu hata kidogo sana uhai...
Niliwahi kuleta nyuzi zaidi ya tano ( campaign) hapa JF nikiiomba serikali ifanye marekebisho ya sheria ya kanuni za Adhabu Tanzania ( Penal Code) kwa kushusha umri wa ridhaa ya kufanya mapenzi...
Nimefuatilia ripoti yake naona hajatuambia nan aliyetoa amri ya kuua WATANGANYIKA ila ametoa visababishi vya uchaguzi TU
Eti anasema wale waliokatwa wakat wa mchakato wa NDANI wa uchaguzi ndio...
Wazee wenzangu ambao watoto wetu wakiume wanavaa heren,wanasuka,wametoboa pua na kuvaa vipin puani,wanavaa tshirts za kike na wengine tunajua kabisa kua vijana wetu wanaliwa na wanaume wenzao je...
Siyo hizo za kupelekwa pelekwa kama watoto wa shule mara washa Taa,Tuimbe wote,Ruka ruka juu.
Kushoto kulia unapelekwa tu kana kwamba wewe ndo dancer wake.
Show hizi hapa unapenda minono sawa...
Jana nilileta uzi hapa kuhusu huyu bwana aachane na ligi baada ya siku nne nyuma gari lake moja kupata ajali mbaya Morogoro, juzi tu nikashauri arudi njia kuu madereva watamfilisi ila nikaonekana...
Taarifa ya kushikikiwa kwa Mwandishi Aliyce Nyanda
Nimepokea simu nyingi toka kwa waandishi mbalimbali juu ya kutaka kujua kama mwenzetu Mwandishi Aloyce Nyanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi...
Yani kazi yao ni ngoja waje,ngoja wanyoshane kidogo,mwingine kila coment ni kuandika tu aisee wengine ni likes hakuna cha kuandika komenti wala threads, wengine unamkuta ameandika vidoti ...
Wakati baadhi ya mataifa ya Kiislamu yakionekana kushirikiana na Marekani dhidi ya utawala wa Kiislamu wa Iran, ni Papa wa Kanisa Katoliki ambaye amesimama wazi kupinga matumizi ya nguvu na...
Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na...
Habari Wanajukwaa,
Ikiwa labda kwako haikuwezekana lakini ukiwa kama experienced person naamini kuna mengi umejifunza na kuna sehemu ushajua kwamba ulikosea, kwa mbinu zip na mikakat ipi...
Ikiwa kila kitu kwenye ubungo kipo normal lakin kuna kasoro hiyo.
SUBDURAL HAEMATOMA 0.9CM
(Mgonjw alipata ajar 25 March akaanz ubwa kichwa 15/April na kupma 20 april na mamumi yaakanz kushuka...
Na Mwandishi Wetu.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, ameihimiza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na...
Naombeni connection ili nipate kuingia kwenye kikosi cha kusifu mitandaoni.
Nilisikia mshahara ni 7k kwa siku, hii ni hela kubwa sana nami nataka kuingia kwenye kikosi hiki kwabababu nina uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.