Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila mwaka kule Italia kwenye mji wa Trento, huwa wana tamasha lao ambapo wanafanya mchezo unaitwa "The Tonca". Huu mchezo unakumbushia adhabu za kizamani sana walizokuwa wanapewa watu wenye...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Moja ya picha ya Magufuli katika kipindi cha uhai wake ambayo ilipigwa wakati akiwa Ikulu akimuapisha Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kua Balozi na Katibu mkuu kiongozi Februali 27, 2021 Picha hii...
11 Reactions
15 Replies
546 Views
Kwa muda mrefu sana haikumbukiki ilianza lini, ilizoeleka kuwa aina fulani ya nguo au uvaaji kuwa ndiyo alama ya Uislamu. Kuvaa matarabushi, misuli, barghashia, kanzu, sandali, baibui na Abaya...
5 Reactions
15 Replies
267 Views
Hormz ya DSM pale Kigamboni imekaa kihasara hasara sana
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kwamba kinaoina hatari kubwa ya kuongezeka kwa ukali wa maisha katika jamii kutokana na ongezeko la bei ya mafuta. Ambapo wameeleza kuwa...
2 Reactions
3 Replies
164 Views
UAPISHO WA VIONGOZI Rais Samia Suluhu Hassan, atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni. Viongozi watakaoapishwa ni: 1. Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb.), Waziri wa...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Anonymous (c723)
Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi...
1 Reactions
3 Replies
276 Views
  • Redirect
Chama cha Reform UK kimetishia kuzuia utoaji wa visa kwa raia wa nchi zinazodai fidia kutokana na utumwa. Nigeria, Ghana, Kenya, Jamaica pamoja na nchi nyingine 15 za Afrika na Karibiani zinaweza...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba...
2 Reactions
4 Replies
170 Views
Anonymous
Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati. Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea...
2 Reactions
6 Replies
254 Views
  • Redirect
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kwa umma kuhusu matarajio ya kunyesha kwa mvua kubwa kwa muda wa siku tatu mfululizo, kuanzia Jumatano, tarehe 8 Aprili hadi Ijumaa, tarehe...
1 Reactions
– Replies
– Views
Mtanzania mmoja mwenye umri wa miaka 29 ametiwa mbaroni huko Kasama, nchini Zambia, baada ya kutoa taarifa za uongo akidai kuwa nyeti zake (sehemu za siri) zimeibiwa. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
4 Reactions
5 Replies
203 Views
Salaam Wakuu, Watu wazima miaka 60 biblia bado hawaielewi, vipi watoto wadogo? Je, Biblia inaweza kuwwjenga watoto au kuwabomoa? Watoto wadogo wasome mambo Ufunuo, Walawi, Waamuzi, Ruth...
10 Reactions
29 Replies
430 Views
Bei ya mafuta duniani imepungua kwa kiasi kikubwa kufuatia tangazo la Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili. Mapema Jumanne, pipa moja...
4 Reactions
16 Replies
492 Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Ndumbwi, Mbezi Beach kata ya Kawe amefanya kitendo cha kijasiri kwa ku mobilize wananchi kuzima moto nyumba iliyokuwa inaungua...
2 Reactions
8 Replies
285 Views
Kumekuwa na tatizo la maji katika eneo la Lemguru Kisongo A to Z, maji hayajatoka miezi miwili sasa na bili za maji zinakuja zikiwa juu bila maelezo Tatizo limeripotiwa kwa Mkurugenzi idara ya...
1 Reactions
1 Replies
147 Views
Mtoto awe wa kike au wa kiume ni lazima afanane na baba yake. Binadamu ana pair 23 ya chromosomes na kufanya jumla ya 46 . Hizo ndizo huunda mtoto. Sasa mtoto kama ametokana na chromosomes za...
1 Reactions
9 Replies
335 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumshambulia na kumjeruhi mtu pamoja na kuzua taharuki katika jamii kufuatia matukio mawili tofauti yaliyotokea katika maeneo...
1 Reactions
4 Replies
211 Views
Nina uhakika na shutuma hii kuwa ni kweli baadhi ya Kampuni za mawasiliano zinadanganya uma kuwa zinatoa kasi ya 4G au 5G lakini ukweli ni kuwa wamehariri majina ya Band lakini hawajafunga cable...
4 Reactions
3 Replies
153 Views
Back
Top Bottom