Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tulishaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, lakini inaonekana tulichukua kauli hii kwa kuitafisiri kutoka kingereza bila kuangalia uhalisia wa mfumo wetu wa elimu. Tumeamini sana tafsiri yake juu...
4 Reactions
28 Replies
570 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Psny9WO33AE
1 Reactions
0 Replies
106 Views
BM ni mojawapo ya mabasi ambayo imewekeza na kuingia kwenye usafiri na usafirishaji wa parcel kwa nguvu sana. Wana mabasi mengi sana route ya DAR-ARUSHA. Wasafiri wa kanda hizo wanapenda luxury...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Zinaelekea siku 80 sasa tangu tupokee boom la 2. Kwa kawaida boom tunapokea ndani ya siku 60 hadi 70. Kuchelewesha boom la 3 kiasi hiki bila taarifa yoyote kunawaweka wanafunzi wengi kwenye...
3 Reactions
3 Replies
199 Views
🚨 Wanasayansi wamenasa picha ya wakati maisha yanaanza! Katika sekunde ile ile ya mbegu ya kiume inapokutana na yai (fertilization), mfululizo tulivu wa shughuli za kibiolojia huanza: mabilioni...
1 Reactions
0 Replies
167 Views
Tujiulize maswali haya Je mipango miji inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi ya watu? Je sera ya mamlaka ya viwango na ubora inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi...
23 Reactions
122 Replies
10K Views
Kuna maswali mengi muhimu ya kujiuliza kwenye hii biashara ya vituo vya nafuta mpaka inakimbiliwa na karibia kila mfanyabiashara? Je magari yameongezeka sana nchini? Je kumekuwa na urahisi wa...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, kuna uongo mkubwa sana umepandikizwa miongoni mwetu. Watu wameaminishwa kuwa mafanikio ni lundo la minoti :) , majumba ya kifahari, na magari makali. Huu ni wazimu na "kiini macho" cha hali...
7 Reactions
16 Replies
513 Views
Sijui kwa upande wako ila upande wangu, Yeye hajui ila mimi mfuatiliaji wake humu JF, nyuzi zake hazina shangwe sana, hauwezi kuta zina comments ila huwa ni kuntu, comments zake huwa zipo nje ya...
11 Reactions
29 Replies
672 Views
Shalom akhbar! Katika ulimwengu wa Leo Ukiangalia wahanga wakubwa wa manabii,waganga na wahanga na kuolewa wanne wanne ni wanawake...unadhani ni kwanini? Simple. Wanawake ni Viumbe wa hisia...
4 Reactions
20 Replies
574 Views
Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted Idea ya Mungu...
6 Reactions
17 Replies
312 Views
Kuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida. Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki...
4 Reactions
14 Replies
318 Views
Nakumbuka kulikuwa na kelele nyingi sana hata hapa nchini kwetu zikitia watu hofu ili wachomwe chanjo ya korona. Nguvu nyingi sana ilitumika kupitia matangazo ya medias, serikali hadi...
1 Reactions
3 Replies
149 Views
Anonymous (8b5c)
Baadhi ya vituo vya kutolea huduma za afya wilayani Karagwe ukienda kupata huduma usiku wanakwambia bima ya NHIF haitumiki usiku. Soma Pia: Changamoto kwa baadhi ya vituo vya afya na zahanati...
0 Reactions
3 Replies
209 Views
Kuzimu ni chini ya ardhi sehemu mahali yenye maeneo mengi ni zaidi ya moja ,kuna eneo la kwanza mapokezi shiole mapkizi, ni kama mapokezi , kuna eneo la njia panda lenye njia mbili milango...
2 Reactions
12 Replies
370 Views
Kuna maudhi yanayoendelea kwenye customer care au call centre za Tanzania ambayo hatuwezi kuyafumbia macho. Na mengi ya maudhi haya yako mashirika ya simu, na mengine yanayotoa huduma nyinginezo...
4 Reactions
17 Replies
373 Views
[Zab130:3] BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu, nani angesimama? [Zab51:3] Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima [Zab51:4]Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na...
2 Reactions
2 Replies
108 Views
Katika vitu tulifeli kama nchi ni suala la upatikanaji wa polisi. Walio wengi wanapatikana baada ya kufeli shule, yes asilimia 90 ya askari walio huku chini wanaosota barabarani ni waliofeli...
8 Reactions
13 Replies
310 Views
Tunawapenda sana ITV, EATV & CAPITAL TV na Channels nyinginezo Ili mahaba yazidi haya tafadhali tafuteni vijana wazuri wa graphics waboreshe Broadcast Design Vilevile tumieni Camera zenye...
5 Reactions
2 Replies
135 Views
Back
Top Bottom