Logic ndio kitu hamna.
Mnabebeka na mihemuko ya kiitikadi na matango pori mnayorishwa kwenye vijiwe vya gahawa na aljazeera
Kama unaweza kusema uzayuni ndio sababu kuu ya mitafaruku duniani huku...
Je, hisia ni nini?
Mara nyingi utasikia mtu akisema baada ya jambo kutokea
Nilihisi tu itakuwa hivi au
Kabla hii issue haijatokea, nilihisi kuna kitu hakipo sawa
Maneno haya hujitokeza mara...
WAKAZI zaidi ya 600 wa Dar es Salaam wamepewa siku 14 kulipa madeni ya pango la ardhi ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria.Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Ardhi Mkoa huo, Shukrani Kyando...
Kusamehe ni njia ya kutibu moyo wako.
Katika maisha kila binadamu ana mapungufu yake hivyo kuruhusu kuwasamehe kunakupa nafasi ya kuponya yale yaliyokuumiza.
Muda mwengine mwachie Mungu yenye...
Sasa najiuliza maswali haya
1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena?
2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini?
3.Naponunua...
Mitaa ya DSM na viunga vyake leo tangu asubuhi imekuwa tofauti na siku zote
Kuna magari mengi ya police yanayozunguka mitaani yakiwa yamesheheni maaskari wenye silaha na vitendea kazi vingine...
Mimi kwa nature yangu ya kazi huwa sitoki kila siku kwenda mjini, sasa ikitokea siku nimeenda nimekuwa nikiona hawa polisi wakiwa na mitutu ya bunduki kwenye mataa achilia mbali vituo vya...
Nadhani watu wengi hawajui maana(logic) ya neno POST. Kupost ni kuonyesha WATU, sio kwa ajili yako. Kwahyo kila unachopost ni kwa ajili ya watu sio wewe, na ndio maana kuna sehemu ya watu...
Katika maisha ya kila siku, kuna jambo moja ambalo linatisha kuliko njaa, kuliko maradhi, kuliko hata kifo chenyewe—nalo ni kuishi bila kufikiri. Kuishi kama mzigo unaosukumwa na upepo wa mazoea...
Boss wangu mimi kama abiria wako na nnaependa maendeleo yako kuwa makini saana ni kweli hatujui namna pesa ulipozipata ukafanya uwekezaji mkubwa maana scania 1 marcopolo inacheza bilioni 1 kasoro...
Ni maswali matatu ambayo yamekua yakinitatiza kwa muda sasa.
Nimejaribu marakadhaa kutafakari na kutafuta majibu ambayo pengine yatanitoa kwenye kuyawaza maswali haya kuntu kwangu, ambayo ni:-
1...
Wakuu nimeuliza njia halali shortcut ya kuwa prof au kumiliki phd naona kama kwa vigezo vyangu naambiwa siwezi na ni ngumu.
nimeamua kubadili gia akilini. Nataka nijipe mwenyewe ila kwa kukidhi...
Leo nimeona nitoe somo dogo kuhusu mifumo ya upoozaji, hapa nitachanya vyote kwa lugha nyepesi ambayo haipo deep sana ili lengo litimie ila kwenye comment ntakuwa naenda deep zaidi kwa yule mwenye...
Unawezaje kutishiwa na kitu ulichotengeneza mwenyewe
AI ni kama mkusanya taarifa kwa watu wengi mfano: makalani wa sensa yaani wanapita kusanya taarifa za mtu mmoja kisha wanazikusanya...
Matukio ya Oktoba 29 hayakuwa ya kawaida. Ilikuwa ni siku ambayo haikuacha tu alama kwa wananchi waliokumbana na vurugu, bali pia ilifichua sura halisi ya baadhi ya maofisa wa serikali katika...
Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto.
Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake.
Kama ni hivyo...
1. The Point Of No Return and
2. The Maximum Allowed Margin for Error.
The point of no return inatokea rubani akianza kuchekecha ndege ikae kwenye mstari ili aanze kushuka taratibu akiutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.