1. The Point Of No Return and
2. The Maximum Allowed Margin for Error.
The point of no return inatokea rubani akianza kuchekecha ndege ikae kwenye mstari ili aanze kushuka taratibu akiutafuta...
Habari za leo waungwana !.
Naomba kuwauliza; kwa hili jua letu hapa Tanzania hasa Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Lindi, Mwanza, Singida, Shinyanga na Dodoma hatuwezi kuwa na kiwanda cha vyombo...
Hizi Kadi za Mwendokasi inabidi ziboreshwe, unakuta ikiwa mpya au haijapata shuruba zozote inaonesha Namba ya Card ambayo Imeprintiwa juu ya lamination...
Sasa lamination ikitoka Namba ya Kadi...
1. Wazee, hawa ni watu muhimu sana kwako, kukaa mbali nao kunaweza kukufanya urudi nyuma kimaendeleo,fitna,majungu,ulozi na uchawi wanao so ukikaa karibu nao utajiepusha na hayo
2. Wahuni,wasera...
Kama utakuwa mtu wa kushinda mtandaoni basi utakuwa umebahatika kuona content za Pengo Makeke ambazo amekuwa akionesha utapeli. Maudhui hake yana ufanano na maudhui ya Kulwa Kikumba au Mr Dude...
Nimefanya kazi ya kuwauzia milango Wilaya ya Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara tangu Mwaka 2023 mpaka sasa sijalipwa, nimejitahidi kwa kadri nilivyoweza kuonana na wahusika lakini bado hali ni mbaya...
Shule ya Sekondari Zanaki jijini Dar es Salaam, shule ya wasichana inayomilikiwa na serikali ya Tanzania, mwanafunzi wa kike anayeitwa Rosemary Thadei Mushi anasimama mbele ya wanafunzi wenzake...
Machi mwaka 2019, maisha ya Bi. Mwajuma Rajabu mkazi wa Tubuyu, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro yalibadilika ghafla. Akiwa anauza samaki pamoja na wafanyabiashara wenzake pembeni ya barabara...
Ofcoz mnawachukia, mnawachukia kwa maana wamedhibiti vikagarosi wenu wanaoiletea dunia tabu na mateso.
Mnawachukia kwa maana wanadaka roho za itikadi kali wenzenu.
Kwanini nimchukie mtu...
Askari wa kikosi maalum cha Jeshi la Marekani, Gannon Ken Van Dyke, amekamatwa kwa tuhuma za kutumia taarifa za siri za kijeshi kujipatia fedha kupitia kamari.
Kwa mujibu wa waendesha mashtaka wa...
Habari Tanzania !.
Nawaomba watanzania wenzangu tuamue kwa pamoja kuwa katika Sheria zetu hasa upande wa Jinai; tuondoe vifungo vya zaidi ya miaka 20 pamoja na kufuta kifungo cha maisha jela au...
Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi na Naibu Waziri wa nishati Mhe. Salome Makamba wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Fatma Abdallah pamoja na Mkuu wa Idara ya...
Yaani inakaribia tarehe ya kulipa anakupiga sounds anakuambia yuko vibaya mpaka tarehe fulani,inafika tarehe hiyo unaniambia hela imepelea,mimi sina masikhara,nakufungia ndio uanze kuleta maneno...
Du
Hawa jamaa kweli naona walijeruhiwa kweli kweli na Samia hawakutaka hata kusogea kusikiliza taarifa ya uongo.
Maaskofu Catholic nawajua vizuri ni watu strict na wakali wamenyooka sana. Yale...
Bilionea Aliko Dangote ametangaza mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Afrika Mashariki.Tanga, Tanzania
Akizungumza katika mkutano wa Africa We Build Summit 2026...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.