Airtel Voucher za UNI-2GB

Airtel Voucher za UNI-2GB

Mkwaju Ngedere

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
1,046
Reaction score
874
Leo kila nikiingiza vocha za Airtel UNI 2GB za shs1000/- zinakataa na yanakuja maelezo kuwa " huduma hii imesitishwa kwa sasa, tumia Airtel money'' Swali kama huduma imesitishwa kwa nini wanaendelea kuuza vocha zenye kudai kutoa huduma husika?
 
Kwani umenunua vocha?.nunua vocha utaingiza safi
 
Leo kila nikiingiza vocha za Airtel UNI 2GB za shs1000/- zinakataa na yanakuja maelezo kuwa " huduma hii imesitishwa kwa sasa, tumia Airtel money'' Swali kama huduma imesitishwa kwa nini wanaendelea kuuza vocha zenye kudai kutoa huduma husika?

Wewe ni mwanachuo?

Acheni dhambi, kanunue vocha unayostahili.
 
Leo Airtel mida ya morning walikuwa very busy but now mambo muki-DI muki-DE
 
Linganisha jibu lako na hoja niliyotoa, kama utagundua KWA MARA YA PILI KUWA KUTUMIA VOCHA YA CHUO NI DHAMBI, BASI NIOMBEE MSAMAHA KWA MUNGU
 
Back
Top Bottom