Nyikanavome
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 482
- 176
Nimekuwa mtumiaji wa maziwa ya Nido kwa siku nyingi lakini maziwa hayo siku hizi hayayeyuki vizuri, sijui ndio wajanja wameshayaingilia au vipi?
Hapa nilipo nimenunua kopo moja Batch no 82850345AA na kuna namba nyingine sijui ni ya nini lakini inasomeka NL Z0069 EG na yana expire mwezi wa kumi 2010. Ukiyatumia kutengeza chai yaani hayayeyuki yanbaki na viparticles kama umetumia unga wa mahindi vile
Natoa wito kwa TFDA wayachunguze maziwa haya watujulishe wananchi kama yanafaa kwa matumizi au la. Wasitilie mkazo maziwa ya watoto tu, watuangalie na sie wazazi wao.