ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Salaam.
Msinishangae jamani hapa nalia machozi,nimemiss Kibiti_Rufiji_Pwani, Tarafa ya wamatumbi na wandengereko, bila wamasai na wasukuma,bila vita ya wakulima na wafugaji,tukilima mpunga tunaamia ndege tu siyo ng'ombe.Tulisifika kwa mafuriko tu siyo wadunguaji,Ee Mungu nimeimiss ile Kibiti...naomba uturudishie Kibiti yetu baba,Ameen.
Mwenzangu wewe umemiss nini.?
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app