Msaada card not accept navojisajili kwa paypal

Msaada card not accept navojisajili kwa paypal

Gulio Blog

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,056
Reaction score
4,124
Card yangu imeshaunganisha na Huduma internet banking najribu kujisajili na paypal ila naambiwa card not accept kitu kingine ni kwamba nilishafanya boost post Facebook kwa kuidirect moja kwa moja pesa sasa kuna kitu fb wananiambia "you owe $25" hiyo inamaanisha Salio hawajakata maana nikiangalia Salio naona halijakatwa sasa nikawa najaribu kujisajili PayPal ili nilipie huko lakini ndo nakutana na hali hiyo mana kama akiba IPO sasa sijui tatizo liko wapi msaada
 
Card hiyo ya bank gani, yamepita masaa mangapi toka uungwe na internet Bank tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom