Maarab
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 415
- 257
Hongereni airtel kwa tangazo lenu la la voucher ya tsh.200. Ni kiasi gani huwa nachoshwa na matangazo mengi ya kibiashara ktk televisheni za hapa Tz, kwa kiasi flani hili la Airtel nawapa shotuot japo sina hakika producers ni wahapa au laah.
Kiukweli wamefanya kazi poa sana.
Kiukweli wamefanya kazi poa sana.