Dr. F Ndugulile tunaomba msaada wako juu ya viwanda hivi vilivyoko kibada vinavyomilikiwa na wachina

zabety

New Member
Apr 20, 2017
1
0
Kumekuwa na hali ya sitofahamu kwa sisi watanzania tuonaofanya kazi katika viwanda vya wachina hapa eneo la mirungu kibada barabara ya kuelekea dar es salaam zoo
Tunafanya kazi masaa 12 kwa kulipwa elfu 5000,tunafanya kazi kwa manyanyaso na kila tunapopeleka malalamiko yetu juu ya pesa tunayolipwa na mikataba tunamekuwa tukitukanwa na ikijulikana nani aliyepeleka malalamiko basi hufukuzwa kazi pale pale.
Tumeshapeleka malalamiko kwa mkuu wa wilaya lakini hakuna majibu,tumeleta barua kwako bila majibu ,
Viwanda hivi vina mikataba feki ambavyo wafanyakazi hulazimishwa kusaini ili ukaguzi unapokuja kukagua uone sawa. tumeshalalamika sana kila mahari na hakuna MSAADA wowote mpka sasa na hatawachina hawa wamekuwa wakitoa lugha za kejeli za kusema Tanzania hakuna serikali na ufuatiliaji wowote kwani kila wakija huwapa pesa kidogo na kuondoka.
Wanawake wamekuwa wakipata manyanyaso mengi kwani endapo atakataa kuwa na mchina yeyote hujimwapesa zake na kufukuzwa kama mbwa.

Tunafanya kazi katika hali isiyo nzuri kiafya kwani hata vifaa vya kufanyia kazi hakuna hakuna mikataba yeyote japo tuna miaka sasa tunafanya kazi kila tukidai tunaambulia matusi
TUNAOMBA MSAADA juu ya matatizo yetu.

Cc @dr.faustine ndugulile.
 
Nashukuru kwa taarifa. Naomba tuwasiliane inbox kwa hatua zaidi.
Dkt Faustine Ndugulile Mb
 
Back
Top Bottom