Hii picha inasikitisha sana kwa kweli

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,010
Angalia jinsi Mama anavyonyenyekea kwa jamaa ambaye wanalingana cheo na ni mgeni mkoani kwake?

Hii ni protocol ya wapi kwanza? Mkuu wa mkoa wa Dar kutembelea Kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa na DC sitashangaa hata huyo polisi wa nyuma kuambiwa ni RPC wa Kilimanjaro?

Damn,au huyu bandugu ni waziri? Mama kaweka pose la heshima halafu in reality yeye ndiye alitakiwa aheshimiwe maana kapiga kitabu cha ukweli na kichwa kinachaji kweli kweli,life sio fair aisee haswa Tanzania.

lemutuz_nation-1499543269175.jpg
 
Angalia jinsi Mama anavyonyenyekea kwa jamaa ambaye wanalingana cheo na ni mgeni mkoani kwake?Hii ni protocol ya wapi kwanza?mkuu wa mkoa wa dsm kutembelea kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa na Dc sitashangaa hata huyo polisi wa nyuma kuambiwa ni Rpc wa kilimanjaro?
Damn,au huyu bandugu ni waziri???dah mama kaweka pose la heshima halafu in reality yeye ndiye alitakiwa aheshimiwe maana kapiga kitabu cha ukweli na kichwa kinachaji kwelikweli,life sio fair aisee haswa Tanzania.
View attachment 538269
Huyo bimkubwa apendi kujikuza mana anafahamu anachokifanya
 
Mleta mada huo unyenyekevu umeuona kwa dalili zipi?
mbona mimi naona wote ni kama wananyenyekeana tu?
wote wameshika mikono sawa,

Mimi simtetei yeyote hapo ila mleta mada unaonekana unchuki tu na rc wa Dar,
Piga kazi jomba tengeneza maisha yako ndio muhimu kwako kuliko kufuatilia vitu visivyo na mafuaa direct kwenye maisha yako.
 
Mleta mada huo unyenyekevu umeuona kwa dalili zipi?
mbona mimi naona wote ni kama wananyenyekeana tu?
wote wameshika mikono sawa,

Mimi simtetei yeyote hapo ila mleta mada unaonekana unchuki tu na rc wa Dar,
Piga kazi jomba tengeneza maisha yako ndio muhimu kwako kuliko kufuatilia vitu visivyo na mafuaa direct kwenye maisha yako.
Na wewe ungeendelea kupiga kazi tu ukaachana na kufatilia thread za watu hapa kwani hazikusadii pia katika maisha yako yako ya kawaida na pia hazikuzuii kufanya maisha yako.
 
Mimi nimsifu kitu kimoja DAB, ni mjanja kwa kugundua Mzee ni mshamba na anatumia nafasi hiyo kumvunga mambo mengi hadi hasikii wala kuona katika kila atakachosema kwake.
Haijapata kutokea nchi hii mwenye nafasi kama ya DAB kumuweka mfukoni mzito wa mwisho tokea tupate Uhuru. Tena mtu huyo akiwa ni kilaza
 
Back
Top Bottom