Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hali ya maisha sasa hivi imekuwa ni tofauti, makampuni yanabana matumizi hivyo nasisi lazima tubane matumizi. Hizi ni mbinu unazoweza kuzitumia kubana matumizi 1. ukifanya maamuzi ya kuishi...
0 Reactions
3 Replies
835 Views
Nyumba ya mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media, Bw. Reginald Mengi iliyopo mitaa ya Kinondoni, ambayo ndio anayoishi, leo hii imepigwa alama ya X kwa ajili ya zoezi la bomoa bomoa linaloendelea...
1 Reactions
100 Replies
32K Views
Habari za majukumu wana JF, Mimi ni kijana (27) nafanya kazi sector binafsi kwa malipo ya tsh. 560,000/= per month take home. Nimetimiza miezi 11 tangu nianze kazi na nimefanikiwa kuwajengea...
2 Reactions
101 Replies
8K Views
Wamenisimamisha kwenye taa sa Sarender Bridge, wakasema wanataka wakague Mafuta. Akaangalia gauge kwenye dashboard akakuta kuna nusu tank, akauliza risiti. Nikamuuliza risiti ya nini? Eti ya...
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Nchi ya ahadi. Tuache tulisha zoea haya maisha. Haki yetu mnaita Neema?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hospitali ya Amana, mwanamke mmoja amedaiwa kugoma kutoka wodini baada ya kujifungua mtoto njiti wa jinsia ya kike na kuambiwa mtoto apelekwe Muhimbili kwenye huduma nzuri kwa watoto wa aina...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Najaribu kuwaza kwa sauti! Kama tu ku activate acount inachukua zaidi ya wiki mbili, je ningeomba mkopo si ndio ingechukua zaidi ya mwaka! Kama mnataka rushwa ili kuweza ku activate account yangu...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Hivi kwanini viongozi wengi wa dini kwenye maombi yao mengi wanayofanywa hawapendi kutamka neo haki? Mara nyingi viongozi wetu wa dini nchini wanapenda kuombea sana amani, umoja na mshikamono...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kutokana na mvua kubwa zilizonyesha Tibet-China na kusababisha janga(video) tuamishe ikulu yetu haraka. Na wale wote wanaokaa kwenye kingo za mito maziwa na bahari wahikikisha wanaweka vidhibiti...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Naombeni mwenye CV ya Ngereja atumwagie hapa. Maana huyu jamaa ni mtata sana kwenye uongozi wake.
1 Reactions
4 Replies
8K Views
Wanajamii naomba kueleweshwa, je petroli ikichimbwa kuna hatua inapita na kuwa dizeli na mafuta ya taa, au petrol,dizeli na mafuta ya taa yanachimbwa kwenye sehemu tofauti tofauti?
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Picha na Othman Michuzi Media Group TPC yashinda tuzo ya taasisi za kutoa huduma. Shirika la Posta Tanzania (TPC) limeshinda tunzo ya maonyesho ya Sabasaba kwa taasisi za kutoa huduma. Tunzo hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eneo la stend ndogo(Vifodi) lipo katika Mtaa wa Levolosi,Kata ya Levolosi Halmashauri ya Jiji la Arusha.Eneo hili lina jumla ya vibanda (Maduka) 394 yaliyojengwa kwa nyakati tofauti.Mwaka 1994...
6 Reactions
19 Replies
4K Views
Dr.Daniel Amen,aliwahi kutengeneza kanuni maarufu sana iliyojulikana kama 18/40/60.Katika kanuni hii alieleza kuwa mtu anapokuwa na miaka 18 huwa kila wakati anawaza watu wanafikiri nini juu...
10 Reactions
20 Replies
4K Views
Salaam Mimi ni mdau mkubwa sana wa huduma hii ambayo imenisaidia mengi sana. Kwa siku za karibuni nimeshuhudia na kusikia mengi yanayonifanya niitafakari sana huduma hii ......kautafiti kangi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ninaomba msaada juzi nilipigwa tochi maeneo ya gogoni kibamba nikiwa speed 59 na maelekezo niliyopewa na CPI 4149 ni kuwa lazima nikalipie bank au kwenye mitandao ya simu ila isiwe maximalipo...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Polisi yaua majambazi 6 huko fomagila Mwanza. Kamanda Msangi amethibitisha. Taarifa kamili hazijatolewa kuhusiana na sakata hilo.kwa mlioko jijini Mza mnaweza kutujuza zaidi. Inasemekana ni...
5 Reactions
311 Replies
32K Views
Namshauri Rais aende Kibiti akawape pole wafiwa waliotokea tokana na mauwaji yanaliyotokea nyakati tofauti hivi karibuni. Naimani wengi wao walikuwa ni makada wa CCM na yeye ndye Mwenyekiti wao.
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilipata nafasi ya kwenda kumsalimia baada ya kufika nyumbani kuiona familia yangu baada ya miezi kadhaa nikiwa mbali nao. Dada alianza kuugua ugojwa wa "msongo wa mawazo" baada tu ya miezi...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi amewasimamisha kazi kwa muda watumishi sita kutoka idara mbalimbali katika Halmashauri ya wilaya ya Lindi kutokana na kutoridhishwa na uwajibikaji wao kwenye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…