mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Nyumba ya mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media, Bw. Reginald Mengi iliyopo mitaa ya Kinondoni, ambayo ndio anayoishi, leo hii imepigwa alama ya X kwa ajili ya zoezi la bomoa bomoa linaloendelea mitaa hii ya Kinondoni!