Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwenye luninga, picha, mitandaoni na sehemu kadhaa tuwaonapo viongozi wetu TZ na Afrika lazima wale walinzi wawe nyuma ya viongozi wetu kama sio pembeni! Je ni sababu viongozi wetu hawajiamini na...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Wafuatao ni baadhi ya watumishi wanaolipwa mishahara na serikali. 1. Rais 2. Makamu wa Rais 3. Waziri mkuu 4. Mawaziri wote na manaibu wao 5. Makatibu wakuu manaibu wao 6. Wakuu wa Mikoa na Wilaya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Dhana potofu kuwa unywaji kahawa unaleta shinikizo la damu umesababisha kinywaji hicho kutumika kwa asilimia 10 tu nchini. Akizungumza leo Jumapili, Julai 9 katika Banda la Bodi ya...
5 Reactions
52 Replies
10K Views
Tangia mwaka 2000 bukoba ilijipangia mikakati ya ujenzi Wa soko kuu,soko la kashai,na stendi ya kyakairabwa ilikuwa upinzani chini ya rwakatale nothing kilitendeka,mwaka 2012 miradi ilifufuliwa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Benki ya Ecobank imesaini makubaliano na Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Shehena za Kontena Bandarini (Ticts) ili kurahisisha ulipiaji wa mizigo kwa watumiaji wa Bandari ya Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WanaJF Kati ya ndoto zangu kubwa katika maisha ni kuanzisha NGO yenye kujihusisha na mambo ya elimu. Ukiachana na taratibu za kisheria za usajili{ambazo nimeshazisoma} je ni mambo gani mengine...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Baada ya kumaliza Makete katika shughuli za kikazi leo nipo bumbuli kwa mbunge January makamba. Bumbuli ni kuzuri sana hali ya hewa ipo safi kabisa hakuna jua kabisa green city, wakazi wa Bumbuli...
2 Reactions
45 Replies
13K Views
Dar es Salaam. Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeagizwa kuvipitia upya vibali vya kazi vya kiwanda cha kutengeneza mifuko ya viroba cha Anbangs ili kujiridhisha kama ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanabodi. Very soon nitakuwa na safari nikifuatana na vijana wangu kuelekea katikati ya nchi Dodoma. Tutataka kupumzika karibu na maeneo ya stendi ya mabasi kama siyo basi isiwe mbali...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nimesikia tetesi KWESE TV ndo wamenunua TV1 na wanakuja na vingamuzi vyao kuna anaejua zaidi? lini labda? bei zao? zaidi ya NBA wana nini zaidi? EPL? UEFA?
7 Reactions
85 Replies
12K Views
Pesa zilizotolewa kama Sadaka kwa waheshimiwa na Brother Ruge naamini kuna sehemu zilisaidia. Pesa hizo japo Leo mamlaka inadai zile ni pesa za haramu lakini mamlaka haisemi uharamu wa mshiko huo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Seneti ya UDSM ilifuta ghafla uanafunzi wangu kwa sababu zilizosababishwa na uzembe wao. Nimefuatilia haki yangu hiyo tangu miaka ya 2008. Mara zote wananipa majibu yanayokinzana. Natafuta...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tanzania yatajwa kuwa ni moja nchi zenye uchafuzi kidogo wa anga na mazingira. Mataifa yaliyotajwa katika taarifa hiyo ni pamoja na Kenya, Msumbiji, Ethiopia na Cameroon. Utafiti uliofanywa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanasayansi nchini New Zealand wameonyesha kwa mara ya kwanza kwamba chanjo inaweza kutoa kinga dhidi ya ugonjwa wa kisonono. Watafiti kutoka chuo kikuu cha Auckland wamegundua kuwa maambukizi ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa mujibu Wa misahafu mitakatifu Binadamu tumetokana uumbaji Wa mwenyezi Mungu Kwamba sisi sote tumetokana Na Adam Na Hawa kuanzia wazungu waafrika waarabu Na Asians wore Ila Sayansi Na history...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo mikoani ktk eneo la Mbezi mwisho jijini dsm ulitakiwa kuanza mwezi huu wa Julai kwa mujibu wa kauli ya uongozi wa jiji iliyotolewa mwaka jana, je ujenzi huo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Rai hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na wajasiriamali kwenye tamasha la mwanamke wa Kiafrika lililofanyika viwanja vya Makumbusho ya Taifa, Via Via, jijini hapa. Mmoja kati ya wajasiriamali...
0 Reactions
2 Replies
723 Views
Wakizungunza na Nipashe jana, Erick Mwenda na Gertuda Masawe, walidai watu hao ni hatari kwa watalii kutokana na kuwasumbua na wakati mwengine kutapeli mizigo yao. Masawe alishauri wizara kwa...
0 Reactions
2 Replies
770 Views
Ukistaajabu ya Firauni ona ya Musa sasa watu wa TRA wakiwa na trafiki wanakupiga mkono ukisimama cha kwanza wanaangalia gej ya mafuta kifuatacho unaombwa risiti ulipowekea hayo mafuta. Kama...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
WanaJF. Kila binadamu ameletwa duniani for a good purpose,na hata tu viumbe walioko duniani wote wameumbwa na MUNGU kwa makusudi maalum,siyo accidentally tu. Kuna kipindi mtu anaweza kufanya...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…